Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

Yupo Profesa mmoja (alikuwa Boss pale) na mkewe akachomekwa kwa sasa nae ni Profesa (huenda nae alikuwa anavizia U-Vice Chancellor lakini kwa awamu hii wakalambishwa mchanga na sasa kaletwa Profesa toka Nelson Mandela Institute of Science & Technology, Arushaaaaaaaaaaa.
Mzumbe Ni Kwi-kwi asee
 
mzumbe asilimia kubwa ya walimu ni watoto wa maprofesa...

mkuu wa chuo aliyepita prof kuzilwa mke wake alikuwa director wa library, kuna mwingine mkuu aliepita warioba mtoto wake alikuwa hapo na mkewe pia wote staff wa mzumbe..

kuna mwingine komunte nae mtoto wake hapo hapo...

mzumbe kama baba yako ni prof pale hata ukiwa kilaza unaweza ukajikuta umekuwa lecture na wewe pale.pale
Nyoka huzaa nyoka.
 
Kuna wakati nawaza sana kuhusu nchi yangu Tanzania,

Kila nikitembelea jf naona majigambo ya vyuo na kejeli zisizo na msingi.
Nikajaribu kuangalia rank ya vyuo Africa,
Nikakuta best 30 Universities Tz hamna ata kimoja.
Nikajipa moyo kua ranking ile haina academic base

Nikajaribu kuchunguza wahitimu wengi, under and postgraduate.
Nikaona vijana wenye lost opportunities,
Wengine wanajigamba tu mtaani kulingana na vyuo vyao,
Wengine wanajigamba kwa fani zao n.k.

Nikajiuliza, "What's the central goal of education in Tanzania?"

Mpaka sasa cjapata jibu,
 
Dis-continue siyo kigezo cha ubora wa chuo, sababu unaweza uka disco kwa kukosa hela ya kuhonga mhadhiri husika au mgogoro binafsi.
Discontinue siyo kigezo kabisa cha ubora wa elimu ya chuo fulani, na ni aibu msomi kukiweka kama criteria ya kupima ubora wa chuo fulani. Profesa mmoja rafiki yangu aliwahi kuniambia "Ukiona mwalimu amefundisha kozi fulani halafu baadaye sehemu kubwa ya wanafunzi aliowafundisha wamefeli mtihani alioutoa, basi wa kwanza aliyefeli ni mwalimu mwenyewe"
 
Kuna level zingine za elimu kazi kubwa unatakiwa ufanye wewe mwenyewe pamoja na kwamba umeenda kupata maarifa na kuna walimu wa kukupa maarifa vinginevyo huku mtaani tungekuwa na watu wanaojua kudadavua vitu kwa level moja. Juhudi yako katika ku-search maarifa ndio ubora wa masters yako....tuwaachie madogo wa secondary na primary hizo kauli za walimu hawajui / hawafundishwi maana kule zaidi ya 75% unamtegemea mwalimu kwa kuwa wanakupa base ya kujiandaa kupata maarifa ya elimu ya juu
 
Back
Top Bottom