Ubora wa Prado 5VZ na 3RZ kwa safari ndefu

kaka_mkubwa

Member
Apr 6, 2012
36
58
Habari waungwana
Naomba msaada kwa mtu aliyewahi kutumia Prado yenye engine 5VZ na 3RZ kwa safari za mbali kama Dar kwenda Mwanza/Kyela/Mpanda
Ipi ni nzuri na kwa nini?

Asante
 
Prado kiasili hua inachomoka tairi la mbele...engine bora kwenye prado ni 2TR
 
Tatizo sugu la balljoints za mbele, error from manufacturer, pia nyepes kuhama njia,
Hili tatizo wengi sana wanaliongelea.
Lecterer wangu Dit alifariki kwenye ajali na hii gari akiwa safarini mwaka 2013.
Baadae nikaanza kuona uzi nyingi humu zikiongelea hizi gari kwa ajali ukiwa masafa marefu.
Rip lecterer wangu.
 
Back
Top Bottom