Ubora wa mbolea ya fomi Otesha

Ubora wa mbolea ya fomi Otesha

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
5,966
Reaction score
8,502
Nilienda kununua mbolea ya ruzuku nikakutana na hi mbolea ya fomi otesha.sikuwahi kutumia na taget yangu ilikuwa dap na nimeikosa,ikabidi nichukue fomi otesha. hi mbolea kwnye mfuko wake imeandikwa 4natengnezwa dodoma kwa wale ambao mmebahatika kuchukua na kutumia vp ubora wake ukoje?nawakaribisha kwa mchango wenu
 
HUKU HAKUNA WAKULIMA AU HAKUNA ALIYEWAHI KUTUMIA HI MBOLEA
 
Nimeitumia lakini haina ubora sana kama DAP, CAN NA UREA ZA KUTOKA NJE ILA ZINA MATOKEO MAZURI SI SAWA NA BURE.

Pia zinaleta mabadiliko mazuri kwa kiwango fulani si sana si sawa na CAN ,DAP NA UREA
IMG20250103074752.jpg

IMG_20250410_145523.jpg
 
Tumia hyo ni nzur kuoteshea lakin ikifka wakat wa kuzalishia usjarbu kutumia wao wanasema ni CAN ila imeandkwa kenycoch km cjakosea hlo ni bomu Haina ubora, mwaka huu kusini tumefchiwa can y falcon imeingzwa hii ni Bora usiweke kabisa.
 
Nilienda kununua mbolea ya ruzuku nikakutana na hi mbolea ya fomi otesha.sikuwahi kutumia na taget yangu ilikuwa dap na nimeikosa,ikabidi nichukue fomi otesha. hi mbolea kwnye mfuko wake imeandikwa 4natengnezwa dodoma kwa wale ambao mmebahatika kuchukua na kutumia vp ubora wake ukoje?nawakaribisha kwa mchango wenu
Tupe mrejesho Wewe uliyeinunua;
 
Miyeyusho 😁😁
 
Tumia hyo ni nzur kuoteshea lakin ikifka wakat wa kuzalishia usjarbu kutumia wao wanasema ni CAN ila imeandkwa kenycoch km cjakosea hlo ni bomu Haina ubora, mwaka huu kusini tumefchiwa can y falcon imeingzwa hii ni Bora usiweke kabisa.
Technically ni samadi na kiwango kidogo Cha mbolea za Viwandani
 
Nauza mbolea ya yara itesha tzsh 50k anae itaji nipo dodoma
 
Tumia hyo ni nzur kuoteshea lakin ikifka wakat wa kuzalishia usjarbu kutumia wao wanasema ni CAN ila imeandkwa kenycoch km cjakosea hlo ni bomu Haina ubora, mwaka huu kusini tumefchiwa can y falcon imeingzwa hii ni Bora usiweke kabisa.
Hujatoa majibu kadili ya muuliza swali ila umekuja na chuki zako baada ya kunyimwa uwakala.
Hahahaha kuna msenge mmoja anaitwaga Amani yupo MS Group Company kampuni ambayo ni wakala mkuu wa hizo mbolea na wanao tuuzia mbolea huku Nyanda za juu kusini kama Manager Masoko kanda ana Roho mbaya, nyodo na maringo balaa kwetu mawakala. Mwamba alikuwa anamuona na kumringia Serukamba anayewauzia samadi kwenye hiko kiwanda kama Mungu wake vile.

Jamaa ni mkuda na ana roho mbaya sana na Hizo mbolea ni za kikuda sana na wanapenda sana kutumia Jina la Mke wa Mvuvi wa kasa pale Kizimkazi a.k.a Nyonya damu a.k.a Maziwa makubwa kama ndio mmiliki wa hiko kiwanda.
 
Back
Top Bottom