Ubora wa Maji ya Kilimanjaro

Ubora wa Maji ya Kilimanjaro

Mtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.
 
Naona kuna fake yameshaingia, na kuna thread watu walieleza humu.

Sijui ilikuwa ni wapi ila hata mimi nimeshawahi kunywa kilimanjaro yenye chumvi.

Ila sasa hivi nanunua ktk super market flani naona yako vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Kilimanjaro wakati huu maji ni mabaya sana. Yanachumvi. Mbaya zaidi hakuna brand nyingine za maji
 
Mtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.
Kama upo kanda ya ziwa kayanunue unywe..... Kisha leta mrejesho hapa..
 
Kama upo kanda ya ziwa kayanunue unywe..... Kisha leta mrejesho hapa..
Unachosema ni kweli kabisa, sasa nimejua unachoongea kimekutokea. Mimi nimeacha kuyanywa kabisa mana yako na chumvi chumvi kabisa, maji ya mwanza, geita, kahama ya Kilimanjaro waangalie kuna shida!!!
 
Mtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.
Mkuu ni kweli ila sio kwa mikoa yote, ukinywa maji ukiwa kanda ya ziwa utaelewa anachosema mdau.
 
Back
Top Bottom