Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,054
Maji ya Dawasco yamejaa kwenye mabomba yenu mnashindwa kuchemsha mnywe mnaanza kutupigia kelele.
Wanaume wa Dar mkoje?




muda sasa foleni asubuhi masaa 3 mpaka kazini na kurudi hivyo hivyo sasa huo muda utatoka wapi! 

