Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
napenda maji maisha yanapatikana katiakoo tuu
Kweli mkuu mi situmii tena hayo majiHivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini??
Hamna bro hata mimi ni shuhuda.afu jamaa anatoa feedback kwa ajiri ya maboresho.Mtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.
Hapana maji yana shida mkuu, zamani ilikuwa ukinywa maji ya kili unasikia kabisa haya ni maji siku hizi radha hiyo haipo kabisaMtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.
Kuna maji yanaitwa Sequa,yapo huko kaskazini,kilimanjaro yanasubiriNipo Kilimanjaro wakati huu maji ni mabaya sana. Yanachumvi. Mbaya zaidi hakuna brand nyingine za maji
Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini??
Ni kweli kabisa yana chumvi nadhani ni fake.Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini??
Upo sahihi kabisa maji ya Kilimanjaro siku hizi yamekua mabayaaaaaHivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini??
Bora chembechembe za chumvi kuliko nnyaMbona maji bado yana ubora ule ule. Mleta mada jiangalie labda kipindi unakunywa maji ulitoka kuzama chumvini, domo lako bado lilikuwa na chembechembe za chumvi
Asante ..dew drop yako sexy sanaKuna maji yanaitwa Dew drop maji konki Sana Yale
Kipindi nipo bongo yalikuwa ndio maji yanguKuna maji yanaitwa Dew drop maji konki Sana Yale
Yapo ya aina nyingi kama wewe umeacha kunywa yale ya lita moja unusu kwa sh.1500 ukakimbilia ya size hiyo hiyo kwa sh.1000 pole sanaHivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Mkuu acha ukabilaMaji Bora ni Maji ya Afya hayo mengine ni maji ya wahaya na wachaga.
Kuna ya bei rahisi ndio alokimbilia ebu mwambie akanunua yale pale mlimani city au yale yanayosambazwa na gari lao yako kwenye box la kaki alafu akanywe na yake yanayofungwa kwenye nylon lazma aone tofautiMbona maji bado yana ubora ule ule. Mleta mada jiangalie labda kipindi unakunywa maji ulitoka kuzama chumvini, domo lako bado lilikuwa na chembechembe za chumvi
Made in manzese wananunua chupa zenye nembo ya kilimanjaro wanaenda kupulizia kwa kupitia kule nyuma ya chupa kwa lile bomba la sindano(sirinji)wanaziba na supa glue wanapaki fresh wanauza bei rahisiNaona kuna fake yameshaingia, na kuna thread watu walieleza humu.
Sijui ilikuwa ni wapi ila hata mimi nimeshawahi kunywa kilimanjaro yenye chumvi.
Ila sasa hivi nanunua ktk super market flani naona yako vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! I can't believe my eyes!!!Mbona maji bado yana ubora ule ule. Mleta mada jiangalie labda kipindi unakunywa maji ulitoka kuzama chumvini, domo lako bado lilikuwa na chembechembe za chumvi
Hii ndiyo sababu kuuu, watu wanafoji sana... Mfano Colgate original usipoenda super market wanakupiga...Naona kuna fake yameshaingia, na kuna thread watu walieleza humu.
Sijui ilikuwa ni wapi ila hata mimi nimeshawahi kunywa kilimanjaro yenye chumvi.
Ila sasa hivi nanunua ktk super market flani naona yako vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app