yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Habari wanajukwaa!
Mwenzenu nimeona bora nije nipate ushauri kabla ya kufikia maamuzi.
Ni hivi,. nahitaji kununua friji, lakini kwa bajet ndogo niliyonayo nimeona moja wapo ya hizi friji hapa chini itanifaa hasa kwa muonekano wake.
Sasa kwa wale wenye uzoefu naomba mnishauri hasa kuhusu ubora wa bidhaa za Pinetech.
Je ninunue upo uwezekano wa kudumu muda mrefu? Au nitafute ya kampuni lenye jina kubwa kama Boss, West point, n. K.?
Na je hizo bei zilizotajwa ndo bei zake halisi?
Natanguliza shukrani.