Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
kweli kabisa mkuu. Watu wengine humu kama mazuzu. Kila siku ooh chuo kipi bora kuliko kingine, ooh MBA ya wapi sijui imefanyaje. HEBU JIANGALIE JE WEWE NI BORA KULIKO WENGINE? usifagilie chuo ulichosoma wakati ulitoka na kiGPA chako cha mbili.Acheni upoyoyo na uzuzu.niliwahi kusema humu na nina rudia tena.. "chuo unachosoma sio ishu.... ishu ni akili kumkichwa...ziimoo.. kama wewe ni manafunzi fake ndio tatizo... tatizo sio chuo"...