Karibuni wote, kwa wale wanafunzi wageni ambao mngependa kukaa nje ya Hostel za chuo vyumba vinapatikana kuanzia 35-80, pia ata bidhaa USED kma kitanda, Godoro,Meza, Kiti, nk vinapatikana pia.

Hiyo ni kwa wale watakaopenda kukaa nje ya hostel za chuo. Pia hostel za chuo mara nyingi zinashindwa kuwachukua wanafunzi wote kutokana na uhaba wa majengo yake.