Ubora wa Chuo cha Ushirika Moshi

Saccos ni vyama vya ushirika wa akiba na mikopo sio kuweka na kukopa....savings and credit cooperative societies


Asante kwa masahihisho...poor translation on my side.

Ila naamini ujumbe wangu aliupata!!!!
 
wadau hivi karibuni nitaanza masomo flani hapo chuo cha ushirika Mjini Moshi, kwa sasa nawaomba wanajukwaa wenye maoni, onyo, povu n.k kuhusu chuo hiki maarufu na pendwa waniwekee hapa. wasalaam

Hiki chuo ndicho alichosoma mkuu wa mkoa fulani ndugu DAB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…