ALEX PETER
Senior Member
- Jan 17, 2012
- 117
- 23
1.
2.
3.
4.
1. Hii ni picha inayoonyesha kadi za cdm zilizorudishwa jangwani leo huku nyingi zikiwa hazina picha na bado mpya.
2. Moja ya kadi ya cdm iliyorudishwa leo jangwani huku ikiwa haina picha na muhuri umekosewa kupigwa umepigwa siyo mahala pake.
3. Hii ni picha inayoonyesha umati wa watu waliojitokeza kusikiliza mkutano wa cdm jangwani licha ya kutogharamiwa usafiri wala kupewa posho
4. Inonyesha umati uliojitokeza leo kwenye mkutano wa ccm jangwani licha ya kugharamiwa usafiri na kupewa posho bado watu wameshindwa kujitokeza.
My take: Nafikiri ni muda wa kufanya mabadiliko na mabadiliko ili yafanikiwe hatuna budi kueneza elimu ya uraia vijijini ili kusudi watu waamke na kudai nchi iliyo huru na inayothamini utu na wala siyo vitu kama sahivi
nilikaa nikategemea tutaambiwa ni kwa vipi watatua ugumu wa maisha au ni kwa vipi wamewashughurikia mafisadi na wezi wa mali za umma pamoja na viongozi wa halmashauri wanaokula pesa za maendeleo huku bwana mkubwa na watendaji wake wakitabasamu
mjadala uendelee