Kwenye Ligi Ya Uingereza Kuna Matangazo Ya Tekno Sasa Sijui Napo Ni AfrikaMkuu hivi unafahamu tecno inauzwa africa tu,tena sio nchi zote,sasa utanishawishi vipi kuwa simu ambayo hata FCC hawaitambui inaweza kuwa na kamera bora kuliko flagships za samsung na wengineo wanao compete worldwide.?
Camon Cx Camera ina 16 mega pixels, Processor ni 1.5 Ghz octa-core, SD up to 128.Naomba kujua kama ipo tofauti kati ya CX air na Camon CX.
simu nyengine ipi? maana ukitoa kwenye samsung ukaeka kwenye tecno picha itaonekana vipi nzuri? sababu display ndo vileTecno ni nyoko mazee, Samsung tupa kule, ubora wa camera za Tecno uko juu sana, Samsung wanadanganya na screen ya HD, ukitoa picha toka Samsung ukaiweka Kwenye simu ingine ni ya kawaida mno
Sent using Jamii Forums mobile app
note 5 mbali kote huko? mimi nina s5 hapa tuma picha ya coin kama ya 500 hivi au funguo common etc halafu nitume na mimi yangu, iwe original pic plsMie naitumia CX camera mbele na nyuma MP 16 kuna mshikaji wangu ana SAMSUNG NOT 5 tukabishana upende wa picha nikaona isiwe tabu tukapiga picha dah! mshikaji alisanda.
Kifupi CX camera yake ina ubora sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili una ndugu yangu kwaiyo kuuzwa afrika tu ndo tatizo unajua maana yake na lengo la kibiashara ila nataka kukujulisha kuwa ijapokua ilitengenezwa kwa ajili ya Africa sikuizi wazungu na waasia uzalendo umewashinda wanazinunua kama njuguMkuu hivi unafahamu tecno inauzwa africa tu,tena sio nchi zote,sasa utanishawishi vipi kuwa simu ambayo hata FCC hawaitambui inaweza kuwa na kamera bora kuliko flagships za samsung na wengineo wanao compete worldwide.?
Tecno CX inauzwa 370000 hivi ila camera yake imezishinda simu za bei ya milioniC9 tu camera yake hatar..hyo cx ndio balaa kabisa
Mimi nimetumia simu aina nyingi tena za kuanzia sh laki8 ila nisikudanganye tecno wapo vizuri kwenye cameraWewe utakuwa unatumia tecno tangu uzaliwe hadi leo, kwa mantiki hii huna uwezo mkubwa wa kufanya ulinganifu wa ubora wa camera za simu kutokana na brand mbalimbali,
Samsung
iphone
Sony
Lg
Nokia
Zishindwe na tecno kweli!!? Watu watakucheka ukitamka kwa mdono hadharani
wanazinunulia wapi?Akili una ndugu yangu kwaiyo kuuzwa afrika tu ndo tatizo unajua maana yake na lengo la kibiashara ila nataka kukujulisha kuwa ijapokua ilitengenezwa kwa ajili ya Africa sikuizi wazungu na waasia uzalendo umewashinda wanazinunua kama njugu
Achana nao hao ndo wanaume wapaka mikologo nilazima huwe mweu kwanza kabla ya kuiponda tecnoYaani kuna watu wanajiona baabu kubwa! Kama wewe hupendi TECNo wenzako twaitamani hasa na wengine wanakandia hats kiwanja hana(kula kulala)
Mimi nasafiri nchi nyingi sana sema wazungu wanaiogopa tecno kwa sababu ni bora ila bei hipo chini Samsung ndiyo zinawalipukia kila kukicha sasa hicho kipimo unacho zungumzia vpwanazinunulia wapi?
wenzetu wazungu hawatumii simu ambazo hazijapimwa, ili kampuni iuze nchi kama marekani, ulaya, china etc inabidi ipimwe kwanza kama haina madhara kwa binadamu kwenye vitu kama mionzi. unaweza nipa link Tecno imepass Tenaa au FCC?
Mimi nasafiri nchi nyingi sana sema wazungu wanaiogopa tecno kwa sababu ni bora ila bei hipo chini Samsung ndiyo zinawalipukia kila kukicha sasa hicho kipimo unacho zungumzia vp
bei ganii hii???TAFUTA TEKNO CANNON CX NEW BRAND INA CAMERA HD YA MBELE 16MP NA YANYUMA 32MP,INTERNAL MEMORYCARD 16GB NA EXTENAL 32GB HAPA GALAX,LG,IPHONE IKASOME
Ndugu usibishane na watu wenye akili sasa naomba nijibu maswali yanguwewe unaona mita 2 wenzako wanaona miaka 100 ijayo, madhara ya mlipuko ni tofauti na mionzi, kwa bidhaa hizi za kichina na nchi zetu hizi ambazo hata utafiti hazifanyi unanihakikishia miaka 100 ijayo hakutakuwa na matahira kila mitaa,
mionzi ya simu inaenda moja kwa moja kwenye ubongo, ndio maana inapimwa,
na siku hizi huwezi mdanganya mtu, umesafiri nchi gani ya wazungu ukaona Tecno zinanunuliwa kama njugu? hapo south Africa tu kwenye wazungu wachache zimeshindwa kupenetrate sembuse ulaya na marekani ambapo big names za kichina zimeshindwa?
wakigusa tu nchi yoyote yenye watu wanaojielewa wanafilisiwa hapo hapo.
Ndugu usibishane na watu wenye akili sasa naomba nijibu maswali yangu
1umesema simu zisizo pimwa wazungu awazitumii sasa kwanini tecno aijapimwa ??
2umesema maswala ya mionzi niambie kiwango cha mionzi au nionyeshe report ya WHO inayo onyesha kiwango cha mionzi kisicho kubalika
Sasa kama aijapimwa unasemaje inamionzi isiyo na viwango no research no right to speek1. kama haiendi nchi zinazopima itapimwaje? inakuja huku kwetu shamba la bibi wanapokuja ku dump.
2. hakuna kiwango kimoja kila nchi ina test yake.
-marekani yeye hutumia FCC, na zipo nchi nyengine ambazo hutumia standard ya marekani yaani FCC kama vile india, kiwango cha marekani ni 1.6 watts per kilogram
-Ulaya wao wana EU na CENELEC yao wao ni 2W per kg
-Australia wao ni 1.6 kama us etc
Specific absorption rate - Wikipedia
soma zaidi hapo.
na WHO hawa hapa
Mobile phone radiation is a possible cancer risk, warns WHO | SAR Shield - Cell Phone Radiation Protection | Mobile phone radiation chart