Ubora na bei za tecno smartphones

L9plus ina capacity ya 5000 ipo pouwa sana
 
Unajua Sio kila kifaa cha mchina Ni kibovu au kinalow quality, na pia, lazima tutambue hata hizi Simu tunazozisifia ka uimara, nazo kuna baadhi ya vifaa vinatengenezwa China wanavicombine ndo tunaiona bidhaa kamili Mf iPhone ni marekani lkn si kila kifaa kilichofungwa kimetoka marekani pekee n. K, hivyo Basi, inawezekana tecno ikawa haipo China, lkn uingereza ikawepo, ni Sawa na bidhaa zingine km nguo, Viatu, laptops, n.k cha muhimu ni kukubalika Kwa bidhaa Kwa sehemu husika, tecno ni kampuni inayotengeneza soko ktk maeneo mengine ambayo yanajua makampuni mengine hayajaweza kufika kirahis n.k Ila Sio km ndo kutengeneza bidhaa za low quality, Mf: mwingine kama kampuni Halotel ilivyoingia nchini, Watu wakaponda mwisho wa siku ndo inayorun ktk good performance ya net... N. B: kuna makampuni mengi ya Simu duniani, na kila kampuni inasifa tofauti kutoka Kwa mwenzake.....hapa nazungumzia makampuni makubwa tu, iPhone vs Samsung Vs blackberry vs Sony vs Nokia vs HTC vs Huawei vs tecno vs n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…