Ubongo wa mwanamke haupevuki

Yes! Hii ndio ya kuongea. Sio eti akili za mwanamke hazijapevuka!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww dada unaongea pumba kweli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu waweza kuwa mfano wa matokeo ya huo utafiti.
 
una mke ambae analea watoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio watoto wetu mume na mke
Wamekuwa watoto wako wa mume pekee kweli haijapevuka haha

Majukumu ya mke na mume yapo na nikawaida katika jamii hiyo kujitetea kwa kukaa au kulea mtoto au kubeba mimba ni wajibu kwa mwanamke kama ilivyowajibu kwa mwanaume kuhakikisha familia inapata mahitaji yote muhimu

Nakumbuka jirani yangu alikuwa na watoto wa kike watatu wenye umri wa miaka 18, 22, 24 na mtoto wa kiume mwenye miaka 12 siku moja kila akisafiri humuita huyu wa kiume na kumuambia nakuachia nyumba uilinde
Watoto wakike wakamlaumu baba kwa kumuona dogo ndiye aaminiwaye

Siku moja wakati baba yusafarini vibaka wakaja usiku wa saa 8 kuvunja mlango dogo aliposikia akaenda jibanza nyuma ya mlango wa nje akafungua kidogo mlango vibaka alipougonga kwateke mlango ukafunguka vibaka wakanyoosha vyumbani na sebuleni dogo akatoka fasta kupiga kelele za mwizi majirani tukatoka kutoa msaada vibaka wawili wakakimbia mmoja tukamnasa wakati dada zake wamejificha mvungu
Huu utafiti kwa tukio hili naweza unga mkono
 


Duh sasa mbona kama umetoa povu kuasi
 
kwamba biblia iliposema"
1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; " labda ni kutokana na ubongo wao kutopevuka
 
Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee
Wanajiona wana akili sana kumbe ndiyo maana wanachunwa halafu wanakuja kulalamika.
 
Ni kweli kabisa ubongo wa mwanamke huchelewa kupevuka na hii ni nature na ukitaka kuprove fanya simple research kama nyumbani una watoto act kama una wanunulia zawadi kama nguo au chochote kile watoto ambao amewazaa mwenyewe mara kwa mara alafu yeye usimnunulie licha ya kwamba anafanya kazi anaingiza kipato lakini bado mwanamke atamaindi ili ku balance equation kwA sababu bongo zao hazijatofautiana sana na watoto inabidi mwanaume utumie akili ajione ume mtreat equally na wanawe. note: TUNAPOZUNGUMZIA UBONGO WA MWANAMKE UNACHELEWA KUPEVUKA HAIMAIMANISHI HAWAWEZI KUTIMIZA MAJUKUMU YAO WANAWEZA SANA TENA SANA. ISIPOKUWA NI KATIKA MAMBO FLANI FLANI YA KIMAAMUZI AMBAYO WAKISIMAMA WAO KAMA WAO BILA MWANAUME YANAWEZA LETA GREAT CONTROVANCY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…