Ubongo wa mwanamke haupevuki

Mmh kweli mwanamke ni mwanamke huko kwa mange kimambi anaweza ongea points ukasema yes hiki kichwa aisee kesho yake anavyohamia kwenye udaku! Unataman hadi um unfollow, maana wataanza kuchambana mpaka aibu! Women!
 


Hapa pia unazidi kuthibitisha andiko hili kuwa mwanamke hapevuki. Sasa ulitaka mwanaume ndiye abebe Mimba. Hapo hapo umesahau bila mwanaume usingebeba Hiyo Mimba.

Kuzaa na kulea ni jukumu la Mwanamke wewe ulitaka mwanaume alee au azae.
 


Hayo majukumu ulitaka ayafanye mwanaume au ndio nawe mwanamke. Kuzaa na Kulea ni jukumu la mwanamke. Hata wanyama ni hivyo hivyo.

Ingawa mada hii haijaeleza ni sehemu gani ambayo mwanamke hajapevuka. Walakini naamin kuwa wanawake wanamapungufu mengi ya kiutendaji na kimaamuzi.

Japo yapo maeneo wapo vizuri zaidi hasa eneo la malezi.
 
Kuna udhaifu fulani kwa hawa wanawake hasa katika mitazamo yao ndio sababu wanaume wameumbwa kuwaongoza wanawake
hata katika maandiko Adamu alimuonya mapema kabisa mkewe Eva asidanganyike na kitu chochote lakini kilichotokea eva akaambiwa maneno machache tu na shetani akasahau yote aliyoonywa na mume wake Adamu, akala tunda matokeo yake tukaanza kufa

Adamu kukubali kula tunda la mkewe ni kwasababu ya mapenzi ya kweli aliyokuw nayo kwa mke wake

UDHAIFU KWA EVA
Inaaminika adamu alimueleza mkewe kuw Mungu aliwakataza kula matunda ya mti wa katikati ya bustani na siku wakila matunda hato watakufa

udhaifu wa eva katika maamuzi ni kupuuza ukweli aliokuw ameambiwa na mume wake na kufuata uongo wa shetani wakati alikuwa anajua kabisa akila tunda kitachofuata ni kufa pia eva alionesha kukosa uaminifu kwa mumewe(usaliti) yaani kushindwa kufuata maagizo ya mume wake kwahyo shida ndo inaanzia hapo....!!

Mwanamke unaweza kumpa ela ya kununua kilo moja ya nyama
akaenda buchani cha ajabu akikutana tu na lijamaa likamuongezea nusu kilo
ndo basiii tena ataumiza sana kichwa kwanini huyu kaka kaniongozea nusu kilo ataanza kulifikiria saaaana hilo jamaa lililomuongezea nusu kilo ya nyama kuliko hata wewe ulie mpa ela ya kilo nzima.

Naomba maoni yenu pia
naishia hapo kwa leo!!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye wenzio,deep inside you,the truth is obvious.Hata wale magwiji wa Beijing walikiri kwamba kwamba zile zilikuwa rhetoric za majukwaani tu.
 
Hapa pia unazidi kuthibitisha andiko hili kuwa mwanamke hapevuki. Sasa ulitaka mwanaume ndiye abebe Mimba. Hapo hapo umesahau bila mwanaume usingebeba Hiyo Mimba.

Kuzaa na kulea ni jukumu la Mwanamke wewe ulitaka mwanaume alee au azae.
Sasa ikawaje akapewa majukumu mazito hivyo kama akili yake haipevuki? Kwanini asipewe mwanaume ambaye akili yake inapevuka?
Wewe kama ni boss ofisini kwako unaweza kumpa mtu kazi yako akufanyie wakati unajua fika huyu hana uwezo wa kuifanya?

Umekaa huko ukajisikia tu kudhalilisha wanawake ili wajione wao sio kitu ukaja na hili bandiko lako la kipuuzi eti utafiti ni mtafiti gani anaweza kupoteza mda wake kwa jambo la kupuuzi kama hili. Watafiti wako bize huko wanatafuta solutions za kumaliza majanga yanayoikumba dunia kila siku.

Alafu nimegundua kitu, wanaume wasiojiamini waliozidiwa vitu vingi na wanawake ndo huwa wanakuja na mabandiko kama haya ili wajipooze mioyo yao kwa kuwashushwa wanawake. Pambana na haki yako baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aliyekuambia kuzaa ni jukumu zito ni nani??

Mungu ndiye ameamuru na imekuwa hivyo. Nani asiyejua kuwa wanawake ni watu wanaopenda kulalamika na kutafuta huruma hata kwa vitu vidogo.

Tunajua kuwa Jukumu la uzazi ni muhimu sana. Na tunawaheshimu kwa majukumu yao lakini haiondoi ukweli kuwa bado ni wadhaifu. Na hakuna mwenye akili timamu atakayepinga hili.

Suala la kujiamini kwangu achana nalo Mkuu.
 
Kwanini huyo Adam mwenye akili hakutumia hiyo akili yake kukataa kula hilo tunda? Si angeishugulisha hata kidogo hiyo akili yake basi hata kwa kukataa na kumweleza huyo Eva asie na akili ubaya wa kula hilo tunda? Akili zake nimemsadia nini sasa. Mi naona binadamu wote ni sawa si Ke wala Me kila mtu ana madhaifu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko salama ndugu yangu, nashukuru unatambua akilu za akina mama kuna wenhine huku wanakuja na akili zao kusema wanawake hawapevuki akili,

Anyway narudi wiki inayoanza so kuanzia wiki ya mwanzo wa mwezi tutawasiliana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo!!, kwani ni toka lini hadi leo dunia imekuwa mahali safi kwetu??
Ni afadhali hapa tulipo mkuu...hata papuchi zao tunazila kwa kuwadanganya.... imagine.. tungekuwa hatuzili hovyo hovyo ingekuwaje...
 
Wamepoteza muda, hilo sio jipya. Wako hivyo tangu enzi za bibi yao Eva .
 
omo imehusika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wemen is everything.

80% of akili zetu tunachukua kwao.

Mtoa mada kama mke wako hana akili kids wako watapata tabu kimasomo..

Lakini huo utafiti una ukweli kiasi chake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya kuzunguka sana...mwanamke han uwezo wa kusimamia tough judgement, hakuna anayemtukana wala kumdharau mwanamke hapa, istoshe ndo waliotuzaa na kutulea, lakini mwanamke ni mwanamke tuu, kwanza ukikuta familia mwanamke ndo kichwa cha familia katika maaumz ujue hyo familia ni ya kifala kinyama, na inadharaulika katika jamii, mwanamke kukosea ni kwingi sana, mwanamke siku zote ni msaidizi na sio main driver,

Yupo kusaidia pale mwanamme anapopwaya na kamwe sio kiongozi mkuu, unamwachia mwanamke mkwanja wote ili afanye maamuzi yenye tija unakuta amenunua vitenge, ameepeleka vikoba n.k af unaanza kumtukana hujui kwamba wewe ndo boya kwa sababu unampatia majukumu yasiyo yake, et mwanamke awe raisi, awe mkuu wa jeshi, aongoze mapambano, asimamie miradi mizito ushaona wapi....

Na sio kwamba inafamyika maksudi ni asili yao na huwez kupambana na asili...wachache wanaovuka mstari huwa wanawalakini kwenye ndoa zao, na mara nyingi wapo single, na kama sivyo ujue ni botion tuu, kuna watu nyuma yake wanaume wanaoongoza mambo..!!
 
Mkuu umenena vyema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…