"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

Uboho=bone marrow. Stem cells zinapatikana kwenye bone marrow.
Stem cells zinauwezo wa kubadilika kuwa cells nyingine ndio maana zinapandikizwa kutibu magonjwa sugu.
Ndio maana ya 'Bone marrow stem cells', yaani stem cells zitokanazo na bone marrow.
 
Doctors in London say they have apparently eradicated HIV from a patient's body. It's only the second time this has been accomplished, despite many attempts over more than a decade.


While some commentators are calling this a "cure" for HIV, the scientists who performed the experiment say it's too soon to say that. Instead, they say the patient is in remission.


Both cases involved a risky procedure called a stem-cell transplant (otherwise known as a bone marrow transplant). The first recipient, Timothy Brown, gained fame as the so-called Berlin patient after transplants in 2007 and 2008 rid him of HIV. He remains free of HIV today.


That result raised hopes that HIV could be eradicated through a medical procedure and cure people of HIV infection. Yet Brown's case remained the lone success since then. Other attempts had failed.



Shots - Health News
HIV Cure Is Closer As Patient's Full Recovery Inspires New Research

Now, researchers at University College London report in a paper being published Tuesday in Nature that they have apparently eliminated HIV in a second person.


That man had been diagnosed with HIV in 2003. Then, in 2012 the unidentified patient was diagnosed with a cancer, Hodgkin lymphoma. After standard treatments failed, they gave the patient a stem-cell transplant — essentially killing off his old immune system and giving him a new one.


The doctors selected a donor who had two copies of a particular mutation in the CCR5 gene that prevents HIV from infecting T-cells, a part of the immune system where the virus takes hold and does its damage. As a result, the man ended up with an immune system that was naturally resistant to HIV.
 

Attachments

  • BORNE MARROW.jpg
    BORNE MARROW.jpg
    110 KB · Views: 39
Hii tafsiri ya uboho sikubaliani nayo ...wakati tunasoma tulifundishwa neno la "uroto"
Uroto mwekundu wa damu -red bone marrow

Uroto mweupe wa damu-white bone marrow.

Uboho ni neno jipya.

Pia kilichotumika kama tiba kwa huyo UK PATIENT ni stem cell....Selimundu shina
Yes! i second your Argument..

Naona wanaleta uhuni uhuni tu hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu unaouona hapa ni "Uboho"

View attachment 1039164

BBC wame report haya chini

Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
Wale wasio tamka "h"
 
Imagine siku huu UKIMWI ukatibika moja kwa moja. Na kuwa ugonjwa wa kawaida tu. Wale vicheche wataendelea kupiga. Na UKIMWI wa sasa na miaka ya nyuma ni tofauti. Sasa mtu anaetumia dawa yanafanya vidudu vinakuwa too weak na hata bila kinga maambukizi yanakuwa kwa asilimia ndogo
[B]Donald J. Trump[/B]‏Verified account @[B]realDonaldTrump[/B] 22h22 hours ago
More
“HIV Is Cured In 2nd Patient, Doctors Report.” @nytimes Such great news for so many. Tremendous progress being made!
 
Sasa "Uboho" ni Stem Cells au Bone marrow

Kwa sababu mimi ni bingwa wa Supu ya Makongoro😁
Kwa hiyo huwa naunyonya Uboho kutoka kwenye Mifupa.
Uboho ni bone marrow

Kiini shina ni stem cells

Process ya kutoa cells kwenye bone marrow na kwenda kupandikiza sehemu iliyoathirika ndo inaitwa stem cells

Bahati nzuri huwa hunyonyi kingine chochote kibaya zaidi ya uboho
 
Back
Top Bottom