Ubishi mwingine haufai kabisa

Hahahahaha acha wakumalize 7bu ya akili zako fupi nyie ndo wale mnaoamini kitu kirahic bila kujua upande wa pili

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huo wala si Ubishi bali ni dharau zimewajaa baadhi viongozi wetu , angekuwa anaheshimu kazi za wengine, yasingemkuta yote hayo!? Na iwe fundisho kwa wote wenye tabia kama hizi!! Akome na akomae!! Ha ha ha ha haaaa......!!!!
 
hakuwa na dharau bro alitaka kupewa heshima yake kama waziri umenisoma!!!!!!
 
alitaka kutumia cheo chake kama waziri vp anaendeleaje na maumivu ya nyuki?!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…