Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile


GSM arena wanafanya review tu. Haimaanishi kampuni zote za simu ambazo hawazifanyii review simu zao ni fake. Mfano Mbona Xiaomi hazipo GSM arena lakini wana high quality smartphones na wanawaumiza kichwa huawei huko china
 

Si kweli wahindi ni maagenti wa Techno, pia swala la battery huwez kulinganisha na xiaoomi, nying ya battery za techno ni 3.4v, 3.5v au 4.2v wakati xiaomi wana 5v
 
Si sawa..ila anapata apps karibu zote zinazopatikana kwenye S4,so kwa mtu mwenye uwezo mdogo wa kifedha can go for it.

I hate people wanaocompare mambo kisa inferiority zao... Huwezi kucompare Samsung na Tecno Eti kisa Zinaweka App Zinazofanana

Mtaalamu hawezi akafanya Jambo hilo.. maana Simu zote zinafeature nyingi zinazofanana. Ukiweka Eti zina App zote unaonekana wa Ajabu kama Simu zote zinapiga Simu. Kama Kutuma message zote zinatuma. Ila Si kigezo cha Kusema Zinafanana.

WATU HAWAFANANISHI SIMU KWA SOFTWARE WANAFANANISHA KWA HARDWARE ZILIZOPACKIWA KWENYE SIMU NA TECHNOLOGY ILIYOTUMIKA.

TECNO INA CHEAP TECHNOLOGY NA INALAGGY ZA KUTOSHA.. Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti..
 
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani
 

Umejitahidi kutoa maelezo lakini umexhawahi kutumia tecno phantom z au unaxema tu kufaidixha raia
 
Wakuu unapozungumzia feki inamaana ya kampuni Moja imeiga na kutengeneza kitu kinacho fanana vilevile kutoka kampuni ilobuni au kuvumbua bila ya ruhusa ya wavumbuaj, hapo sasa bizaa iloiga itakua feki maana haki zake hazitmbuliki, na bizaa iloigwa ndo original maana Ina haki ya kudai hki zake baada ya kuigwa. Sema bidhaa nyingi zilizopo Tz Kama hizo Techno n law quality. Kuna kitu kinaitwa( IS) kwa maana ya International Standard bidhaa yoyote ukiona imeandikwa IS ikifatiwa na nambanmba hiyo ni original na imepimwa kwenye maabara ya Kimataifa na kupewa Chet chnye hzo namba , u got it.
 
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani

Uko sahihi kabisa mkuu
 

Umedadafua vyema mkuu
 
Usifananishe s4 na p3 we jamaa fananisha s4 na tecno phantomy..
 
Sawa naona wameongeza na xiaomi.

Hawajaongeza bali zilikuepo toka wanatoa first product.
Labda kama hujui Gsm wana add vipi review za simu.

Sticking to my point kutofanyiwa review na GSM arena haimaanishi ni fake.

Labda ungesema wewe simu kutowekwa GSM Arena inamaanisha nini.

Mfano mwingine sijaona smartphone za landrover zikifanyiwa review GSM arena

Bado unaendelea kukurupuka.
Sonim Land Rover A8 - Full phone specifications
 

Wewe unashindwa kutofautisha kati ya Clone na Fake.
TECNO wakitengeneza Simu inayofanana na samsung S5 tutaita clone ya S5 kutoka samsung.
Na TECNO wanapotengeneza simu zao nakudai zina specifications kubwa kuliko uwezo halisia tunaita ni fake.

Mfano tukianzia na P3 yenye camera 3MP, inapiga picha quality ya 1MP/0.5MP hapo inamaana TECNO wamedanganya, kwahiyo Tecno P3 ni fake, jaribu ata kuangalia picha iliyopigwa na Asha 200/201 yenye camera 2MP kama itafanana na P3 yenye camera 3MP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…