Kama unaamua kumsomesha/Kumpa msaada wa kielim binti umpendae hakikisha mnafunga ndoa kwanza au anakuzalia mtoto ili baadae akiamua kukutema elimu yake itamfaa mwanao.Mi nilifanya hivo.
Tatzo la wanaume walio weng n hil,mtoto aliyemaliza form six na kuingia chuo,huyu bado ana cognitive changes,unataka kumfunga nyororo ya mahusiano,eti nataka kumuoa na ndo mahusiano yke ya kwanza,unajidanganya ,mwenzio anataka ajue dunia ina rang ngapi?
Inabd tujifunze ss,cimpigii mtu debe lkn huu n ukwel kwamba wadada 30+wameona meng na is real kwamba akil zao zmekomaa na wanaweza kudebt the promise japokuwa cio wte,cku zote samaki mtamu n yule aliyekomaa gamba zake,WADADA 30+mm nawakubal sna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.