Ubinadamu kweli kazi

Ubinadamu kweli kazi

Dalili ya mvua iyo!!, sasa kama una ndoo tupu embu kinga maji mapema, ila ucjali ntamwambia arudi akushukuru kwanza kwa msaada ulompa.
 
Wanaume tukome kabisa kuwasomesha hao viumbe maana mwisho tunaishia kujuta kwa garama ulizotumia na mke umemkosa.
wakati we unamsomesha kuna mwingine anaendelea kumtumia kule chuoni mpaka anasahau fadhila za alimsaidia.

Wadada kumbukeni methali hii: Usiache mbachao kwa msala upitao
 
ungeomba msaada kabla ya kumsaidia kwa sasa hakuna ushauri zaidi ya kutafuta demu mwingine
 
ivi haya maswala ya kulipiana ada mnaanzeje ???

kma ulifanya hayo kwa lengo la upendwe ii uje umuoe poleee sana DONT EXPECT LOVE IN RETURN

lengo lake ilikuwa apate ada na amalize shule kashamaliza na umuhimu wako umeisha
 
Pole Ndio bas tena umeingizwa mjini changanya na zako
 
Nilikua na mchumba wangu anasoma chuo fulan bagamoyo,kiukweli tulipendana sana.Tangu akiwa mwaka wa kwanza nilimsadia sana mahitaji ya chuo kwa sababu pesa alikua anapewa na babake ilikua ndogo sana.

Tulipanga akimaliza tu chuo nikajitbulishe kwao na taratibu za ndoa zianze.

Unaanzaje kumuita mwanamke mchumba wakati hujajitambulisha, hujatoa posa wala mahari?

Acha kulia lia we kijana, hizo fedha ulizotoa fanya kama vile ulikuwa unamsaidia binadamu mwenzako tu...

Vijana wengi wa kiume mnakosea hapo tu kufanywa baba wa kufikia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom