godson meku
Member
- Aug 13, 2016
- 26
- 7
Dereva mahir na mzoef anatafuta gar ndogo ya kufanyia kaz..!! hesabu awe anawakilisha kwa siku au kwa wiki kutokana na makubaliono na mmiliki
BadoUshapata?!?
Akisepa nalo ntampataje?Dereva mahir na mzoef anatafuta gar ndogo ya kufanyia kaz..!! hesabu awe anawakilisha kwa siku au kwa wiki kutokana na makubaliono na mmiliki
asepe nayo aende nayo wap au we hapo unakua umemkabidh gar pamoja na card ya gar amaAkisepa nalo ntampataje?
Mbona kama povu linakutoka?asepe nayo aende nayo wap au we hapo unakua umemkabidh gar pamoja na card ya gar ama
usilimwage loeka nguo zako ufue ndugu kidgo unaweza kua smart kiakil na kimwilMbona kama povu linakutoka?