Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

Sitaki watu wa Uber wanijue.
 
Ww ndo unasema kwel... Huyo jamaa naona ameipa bichwaa uber... Mbona bajaji ina route fupi fupi kwa miatano tu... Mfano Unaweza panda bajaji Mwenge mpaka tankbovu kwa jero tu... Sasa mm naona anaipa Sifa aelezi vzuri kama ulivo sema ww.. Saiv
 
Lazima madereva bajaji waje kujitetea
 
Wakihisi tu umetoka Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba Villages lazima ' wakuchaji ' hiyo bei / gharama.
 
Ww ndo unasema kwel... Huyo jamaa naona ameipa bichwaa uber... Mbona bajaji ina route fupi fupi kwa miatano tu... Mfano Unaweza panda bajaji Mwenge mpaka tankbovu kwa jero tu... Sasa mm naona anaipa Sifa aelezi vzuri kama ulivo sema ww.. Saiv
Mkuu pole kwa kukukwaza, ila ndio hivyo trip 1000/- full AC unadhani nitachukua tena Bajaj?

Bajaj z za jero mnajaza watu wanne acha fix wewe.
 
Yeah, Mimi hutumia Uber. Ila mara nyingi hizo buku buku ni Hadi uwe na offer. Unakuta una offer ya 50% off for a week. So Bei inashuka sana
 
Kwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa nafuu kutumia Uber kuliko gari yako.
Unafikiri kila mtu anaijua hiyo uber
 
Ww ndo unasema kwel... Huyo jamaa naona ameipa bichwaa uber... Mbona bajaji ina route fupi fupi kwa miatano tu... Mfano Unaweza panda bajaji Mwenge mpaka tankbovu kwa jero tu... Sasa mm naona anaipa Sifa aelezi vzuri kama ulivo sema ww.. Saiv
Bajaji ya jero nyuma wa nne mbele wawili kuna usalama kweli hapo?
 
Kwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa nafuu kutumia Uber kuliko gari yako.
Mkuu kama hutajali unaweza kunambia hii uber ni makitu gani??

Huwa nasikia uber sasa sijajua ni usafiri wa namna gani wallah...
 
Hahahah mwanangu we wakala wa uber... Apo umeongeza chumvi... Ukiona nyuma wanne wanajuana na hawataki kubak bila kupanda bajaji...

Eti na nyie buku service ya gari wanafanya uber au ndo wakala tena
 
Kuna mahali nimesema kila mtu anaijua Uber? Hii
Sasa itauaje usafiri wa boda boda na bajaji kuna watu wako huku uswazi hawapo aware na hiyo uber wanaruka na hizo boda na bajaji kwahiyo kila mtu na soko lake
 
Mkuu kama hutajali unaweza kunambia hii uber ni makitu gani??

Huwa nasikia uber sasa sijajua ni usafiri wa namna gani wallah...
Tumia smartphone yako google Uber utapata info zote.
 
Hahahah mwanangu we wakala wa uber... Apo umeongeza chumvi... Ukiona nyuma wanne wanajuana na hawataki kubak bila kupanda bajaji...

Eti na nyie buku service ya gari wanafanya uber au ndo wakala tena
Wakala wa Uber yukoje? Mimi ni abiria aliyeridhishwa na huduma, kwasababu umebisha ngoja niweke TRIP HISTORY YA JANA NA LEO. Unajua trip history? Angalia hapo juu.
 
We itakuwa ni dereva bajaj ww
 
Hawawezi kuweka bei... Mawakala tu hao... Hawanajipya kama mnapanda kwa bei poa tufanyaje sasa mnataka mbebwee kichwani....

Bajaji tumetulia hakuna kijigambaa kindezii... Uber haiwez kufanya kazi dar na mwendokac labda mpite ktk barabara za mwendo kac na hamuwezii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…