Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
"Rajeev Misra, a board member of its latest investor Softbank has said that Uber needs to withdraw from Africa and Asia to focus on core markets in the US and Latin America, in order to hit profitability quicker."
"Rajeev Misra aliye kwenye bodi ya wakurugenzi katika kampuni ya SoftBank mmoja wa wawekezaji wakubwa katika Uber amesema kuwa Uber inatakiwa ijitoe katika masoko ya Africa na Asia ili nguvu zote zielekezwe US na Amerika ya kusini ili kuharakisha kampuni hiyo kupata faida."
Hii ni baada ya SoftBank kuwekeza zaidi ya dolla Billioni 8 katika kampuni hiyo ya usafiri.
Uber imepata hasara ya dolla Billioni 4 kwa mwaka wa 2017.
Uber-operations-in-Africa-could-come-to-an-end-soon