Ubepari ndio system kamilifu

Ubepari ndio system kamilifu

Ujamaa ni umasikini na ujinga.

Ujamaa unazaa wajinga na mijitu isiyo na uwezo wa kuhoji wala kufikiri.

Nyerere alikosea sana alivyoleta ujamaa Tanzania.
 
Ujamaa uleta ujinga, umasikini, uzaa udikteta, madikteta wote ni zao LA mfumo wa kijamaa.
 
I really like the great mind ya Ibrahim Lincoln ndio aliyetengeneza greatest foundation ya capitalism and democracy duniani
 
Mtoa mada bandiko lako limekosa weledi kwa kushindwa kuzuia hisia zako za chuki dhidi ya mfumo usioupenda!!....

Kimantiki hata wewe ni dikteta unaogelea kwenye dimbwi la fikra za ubepari!!!....

Ili uzidi kujiongezea maarifa Jitahidi kuweka mihemko pembeni unaposoma au kujifunza jambo fulani!!!....

Kimsingi Hakuna mfumo unaojitegemea kwa kusimama wenyewe!!!....

Ndio maana unahitaji kuchanganya viungo mbali ili kupata chakula kamili!!!.....

Hakuna nchi hata moja kwa Ulimwengu wa Sasa unaopractice upebari wote na ujamaa!!!.....
Nchi zote duniani zitawaliwazo kidikteta ziko na mfumo wa kijamaa, udikteta ni moja ya sign kuwa nchi hio mfumo unaotawala ni ujamaa. Hakuna udikteta kwenye ubepari,maana ubepari uruhusu mawazo mbadala nguvu ya wengi kuamua mambo.Udikteta na ujamaa ni sukari na Chai kwa maana kwenye ujamaa hakuna ruhusa ya mawazo ya wengi ila zitukuzwayo ni fikra za MTU mmoja,yeye ndo mmiliki wa chama na nchi uamua hatma ya wengi.
 
Lengo kuu la ujamaa ni kuzalisha masikini ktk jamii umasikini uendana na ujinga ili kutengeneza,mfumo wa kidikteta tabia ya kuogopwa uungu mtu ( Mao,Stalin,Hitler, Saddam nk) ili iwe rahisi kuwatawala kiuchumi,kifikra nk,wote wakutii.Adui no moja wa ujamaa ( udikteta) ni tajiri madikteta wote wana chuki na matajiri ktk mifumo ya kijamaa wapatao tabu huwa ni matajiri sababu wajamaa uamini Utajiri ni wizi Utajiri ni dhambi nadharia ambayo sio kweli,sababu hawataki MTU yeyote awe na nguvu au ushawishi kama jamii husika wanaogopa atatishia utawala wao,hivo ufanya kila mbinu kuwakomoa matajiri kwa kuwapa kesi,kuwafunga,kuwauwa,kuwafilisi,nk kodi kubwa ili washindwe.Matajiri wengi wana exposure hali inapokuwa tete huamishia mitaji kwingine,hapo huwa ni Furaha kwa watawala.Hakuna ustawi wowote kwenye mifumo ya kijamaa.
 
Ushoga ni tabia IPO kwenye mifumo yote,hata kwenye nchi za kiislam,za kidikteta,kifalme ile ni tabia, sawa na wizi uongo nk huko haziko wazi Lkn vipo kwa idadi sawa tu na kwenye ubepali.tofauti huku halali kule haramu.
Najua utakuwa unaufahamu tosha kuhusu ubepari, katika zile huru nne uhuru wa kuabudu,kumiliki,kuongea na uhuru binafsi, sasa hapa katika uhuru binafsi ndio matunda ya ubepari, mtu aachwe tu ajifanye mwenyewe apendavyo yaani hata kama ni kinyume na ubinadamu. Hilli linapingwa vikali na watu wa dini iwe uyahudi,uislamu au ukristo. Ushoga ni fikra iliyo hai na yenye kulazimishwa lakini si kwa wazi, kubaliana na mm ubepari ndio chanzo cha vurugu japo ujamaa nao pia ulikuwa na matatizo yake,
 
Nimeona hii Mada ni vyema ninge changia Kwanzaa ktk vitabu hususan quruan Ndicho ninacho kifahamu mwenyez mung ana tuhimiza kuwa mali unayo miliki huja pata kwa matakwa yko bc inafaa kugawanya mali Kwa maana nyingine katoe Kwa wenye uhitaji na vile vile ina tuhimiza tuwatendee wema majirani nikirud kwenye Mada ujamaa ni mfumo ambao Una waweka watu pamoja Kwa maana kusaidiana kuoneana huruma kupendana na kushirikiana ndio maana hii Leo mtanzania kokote kwenye nchi hii unaishi Na Mgen yeyote kutoka bara lolote nchi hii anaish Na kushirikiana Na wazawa hii yote n mfumo WA ujamaa ubepar n mfumo WA kibinafs sana mtu MMOJA ana miliki mali kubwa Sana Hali yakuwa kuna wengine wanateseka kl mfumo Una mapungufu yke, ujamaa ni bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom