Ubebaji wa maiti Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubebaji wa maiti Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Mar 25, 2010.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikiona maiti za watu waliopata ajali au kupata madhara mbalimbali kubebwa kwenye gari za wazi kama hizo za polisi au pick ups. Kwa mawazo yangu nadhani ingekuwa jambo la heshima kwa marehemu kubebwa katika magari yaliyofunikwa, na sio wazi kama hivyo inavyoonekana hapo juu. Vilevile kuna vitu vingine inakuwa sio vizuri kwa baadhu ya watu katika jamii kuviona kwa mfano watoto wadogo na watu ambao mioyo yao ni myepesi. Katika kuona maiti zinapelekwa hivyo hadharani kunaweza kuleta madhara kwao.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Kwa ujumla hatuna mfumo mzuri wa kushughulika na majanga/ajali.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha na kutia huruma hivi hakuna ambulance
   
Loading...