Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
Akitoka huko anazidisha uhaba wa watumishi wa sekta za kubeba maboxKaribu sana Mzee Mwanakijiji, Welcome home, It always feels good to be home again.
Wabeba mabix siku hizi wanatakiwa vijana wenye nguvu .Kwanini umeamua kurudi bongo mkuu? mie ningekuwa state hata kwa bunduki nisingerudi Afrika.
😀😀😀Sasa kama unatoka huko nani ataendelea kubeba mabox na kuwaogesha wazee wetu?
Mimi nilikua na mawazo kama yako ila baada ya kukaa kiwanja kwa muda mrefu nimeanza kumiss maisha ya Nyumbani.Kwanini umeamua kurudi bongo mkuu? mie ningekuwa state hata kwa bunduki nisingerudi Afrika.
Hapana mkuu, huyu ni mwanahabari mahiri, sio kama Pascal Mayalla muda mwingine huwa simuelewi, awashawishi pia Evarist Chahari na Ahmed Rajabu nao waje, Nyumbani kumenoga!Akitoka huko anazidisha uhaba wa watumishi wa sekta za kubeba mabox
Hapana mkuu, huyu ni mwanahabari mahiri, sio kama Pascal Mayalla muda mwingine huwa simuelewi, awashawishi pia Evarist Chahari na Ahmed Rajabu nao waje, Nyumbani kumenoga!
Hayo ni mawAzo yako hatuwezi kukupiga red cardHapana mkuu, huyu ni mwanahabari mahiri, sio kama Pascal Mayalla muda mwingine huwa simuelewi, awashawishi pia Evarist Chahari na Ahmed Rajabu nao waje, Nyumbani kumenoga!
Na kubeba mabox ni kerooo sanaMimi nilikua na mawazo kama yako ila baada ya kukaa kiwanja kwa muda mrefu nimeanza kumiss maisha ya Nyumbani.
Asikwambie mtu Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani.
Ngurumo bado hana uhakika, anafikiri masalia ya Mzilankende bado yapo.Akirudi Ansbert Ngurumo hapo nitajua kweli nyumbani kumenoga!!!