Ubalozi wa Tanzania UK Wamwita Kikwete Uingereza


JF imejaliwa watu wenye hoja hadi inapendeza. Asante sana Mtanzania kwa hii analysis.
 
According to the dataz, mkulu haendi tena huko London huwa sometimes anasikia tunaposema hapa JF, thanks muuungwana for this,

Nyie London, tuliwaambia tupeni maelezo hapa JF mlifikiri tunatania, sasa mkulu haji next time mlete maelezo tukiuliza hapa JF.

I love JF.
 
Hivi sisi Watanzania tuna matatizo gani?

Sasa tunaanza kutengeneza matabaka ya waishio nyumbani na waishi nje ya nchi, hapa hususan Uingereza.

Ni vema maswali yapatiwe majibu kama full funding and organizing of event, whether ni Social Enterprising from an Individual or from a group e.g. an association with "what" support from Serikali kupitia Ubalozi.

Kama Rais anaweza kupigia debe investors wageni kwa kupitia NY Stock Exchange why not kwa Wazalendo waishio nje ya nchi? We are almost shooting ourselves in the foot kwa kulalamika wageni kupewa kipaumbele alafu Watanzania wakipewa kipaumbele kelele vilevile? Unadhani hawa Watanzania waishio nje wataweza fanya biashara yoyote ile bila kuhusisha na kushirikiana na waliopo nyumbani kama market target ni nyumbani??

Naamini kuwezesha Watanzania kumiliki na kushiriki kikamilifu, support kama ya ugeni wa Mkuu wa Nchi ni strong case. Swala la transparency ni muhimu. Hapa Organizers wamemiss kuwa na mtu ambae kazi yake kubwa ingekuwa kudeal na mawasiliano na kutoa majibu wakati wa maswali kama haya ya JF ambapo yapo halali.

Maswali halali nakubali kabisa yapo lakini pia pitia hapa uone kwa karibu baadhi ya majibu kama Sponsors, Organizers, Speakers etc - http://www.africarecruit.com/Tanzania_Event/index.php. Ila tusianze kushambuliana waishio nje kwenye mabox na walio nyumbani (kumbuka kuna akina BOT culprits ambao wako nyumbani) ... so unapokuwa sio ticket, nunalofanya ndio la kukupa sifa au laana/lalamishi.
 

damn if this is true..mipango ya wengi itakuwa imearibika!! lol
 
Hasa wale jamaa na matawi yao, kwisha kabisa! Sasa tuone kama kweli walikuwa na uchungu na hiyo sisiemu au ujanjaujanja wa kujisogeza!

Mimi nilisha sema hapa kwamba JK hakuwa kaitwa na Watanzania bali Abuu na wajanja wake .Balozi was taken for a ride na yeye hana la kusema kwa Abuu maana anadhani ndiyo anapelekea kupendwa zaidi .Mama kazungukwa na akina JP Abuu na wajanja wengine .Matokeo ya kuweka maslahi ya tumbo mbele na Tanzania nyuma ndiyo matokeo haya .

GT thanks so much for the news na hasa ile paundi 60,000 ndizo hasa JK amesikia na kuamua kuingia mitini .Niko London natafuta mawasiliano na Ubalozi na hawa wajanja wa London kuujua ukweli na nitasema hapa kwa uwazi .
 

Mkuu,

Hii ni kweli? Hapo watu watakuwa wamefungwa magoli kweli kweli. Itabidi na wengine tubadili ratiba zetu maana bila Mkulu kuwepo hiyo foruma itakuwa imekufa.
 
Mkuu,

Hii ni kweli? Hapo watu watakuwa wamefungwa magoli kweli kweli. Itabidi na wengine tubadili ratiba zetu maana bila Mkulu kuwepo hiyo foruma itakuwa imekufa.

Mtanzania data zimesha mwagwa, waandaji wako hapa London kama wana habari tofauti na hii waje kama ambavyo huwa wanakuja na kusema .Watueleze kusanyiko liko ama limevunjwa kisa Mkulu haji ? Wao wanataja PR na justification ya cash waliyo chukua kwel watakuwa wameumia sana sana kama Mkulu hatakuja London .Wako wasomaji wengi ambao wako katika maandalizi .Waje wseme ni kweli ama uongo .
 

Lunyungu,

Nime confirm toka source yangu ni kweli JK haji na badala yake Shein ndiye anakuja.

Hapa ni magoli mengi sana tumefungwa. Sijui matapeli wetu wa TA sasa watatuambia nini? Rudisheni pesa mlizochukua kwa sponsors kwa kuwaahidi watapiga picha na rais wa nchi.

Nani ataenda kumsikiliza Shein?
 


JK amekimbia kichaka cha kashfa anamwacha Shein naye aanze kuchafuka masikini .Kazi kubwa sana.Haya data zimesha mwagwa na hapa ndipo ujue JF ni moto mkali unachoma mno.TA wana kesi ya kujibu .
 
JK amekimbia kichaka cha kashfa anamwacha Shein naye aanze kuchafuka masikini .Kazi kubwa sana.Haya data zimesha mwagwa na hapa ndipo ujue JF ni moto mkali unachoma mno.TA wana kesi ya kujibu .

Yebo Yebo kakimbilia wapi? Inatakiwa aje atuambie kumetokea nini?

Huu mzinga hasa, sitashangaa nikisikia kuna watu wamepata ugonjwa wa moyo.
 


Pesa ya walalahoi inateketea na Mafisadi ndio kwanza wanafikiri Tanzania yenye neema ni ya kwao pekee. Lazima tumkome huyu nyani mchana kweupe, wakati ni huu.
 

Labda mkuu Dua, tuwakumbushe wenzetu huko ubalozi wa London, tarehe tuliyowaomba maelezo kuhusu ziara, na exactly maneno tuliyoyatumia, lakini kwa makusudi wakaamua kutokujibu, nakumbuka zamani walikuwa na tabia ya kujibu kupitia hapa na pm.
 
Link ya aliyotoa Mwanatanu hii hapa..............

BAE corruption investigation switches to Tanzania


FM ES siku zote ukweli utakuweka huru, huwezi kuiba with impunity pesa ya walalahoi na ukalala salama itazilipa hapa hapa ulimwenguni kabla mola hajakuchukua. mafisadi rudisheni pesa yetu! We are coming after you, watchout!

BTW Huyo Chenge anasema hiyo pesa haikutoka BAE, sawa atwambie imetoka wapi? kwa mshahara anaolipwa kwa mwezi? Au biashara ya kuitapeli nchi?
 

Nafikiri Chenge hapa kaamua kulivaa jini alijualo. Anaona aruke kushughulikiwa na SFO hata kama kwa kufanya hivyo ataingia matatani kwenye serikali ya Muungwana. Anajua kuna watu watambeba tu, wakati akiingia kwenye
kosa la Waingereza anajua hawezi kupona.
 
namkumbuka atayi bob marley alisema U can fool some ppo some of the time but u can't fool all ppo all of the time sasa jamaa ni lazima ajue kuwa atawatia ujinga haohao wenye maslahi naye ila moto utawaka tuu,Hapa muungwana lazima awe makini kwani Bubu alisema kwa uchungu wa mwanaye,sina mengi ila nayaacha ndani ya mafumbo kila mutu ayadefine ajuavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…