Ubalozi wa Marekani Dar wanusurika kulipuliwa

Ubalozi wa Marekani Dar wanusurika kulipuliwa

si tueambiwa source ni habari leo au?


Yaani hata kule Washington DC state Dep hawana habari kuhusu hii? Hata wale waandishi wa habari nusanusa wa washinton Pos na N.Y. Times? Wako wapi CNN, BBCW, Sky News Fox News, AlJazeera? Kweli hawaijui hii habari?
 
Lol story ya uwongo, eti walinzi wamelala!! hahahaha!
 
Pale wana walinzi wa makampuni ya ulinzi binafsi kwa zile sehemu ambazo siyo nyeti kama vile sehemu zinazokaa standby Generators . Huwa ni deal za wale walinzi kuiba Diesel za generator wakishirikiana na jamaa zao toka nje. Pale limebumbuluka na allegation hiyo ni kuwasave wale walinzi waliolala . Mmarekani mwenyewe kwenye lindo la Ubalozi anaweza Kulala? Sijui ngoja tuone matokeo ya Uchunguzi kila kitu kinawezekana.
 
Wakuu mi ndo maana nilipoanza kupost niliweka Tetesi, lakini wakurugenzi wakabadili na kuwa heading kamili pamoja na ongezeko la habari ya kaka Mzizimkavu mimi mwenyewe still I cant convince myself to buy this
 
walinzi wamelala?.............wafungwe hao kwanza 😡

Mkuu mbona walinzi wengi wanalala tu? Hata yule wa nyumbani kwako kama unaye jua analala! Binadamu is a natural being, ikifika katikati ya usiku usingizi utaupata tu!!! Sasa na ukizingati walinzi wetu ni lazima wapate kapombe kadogo! Sana sana ukitaka walinzi wa kweli ni mbwa!!!

 
Back
Top Bottom