flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Wewe hili jina lako tu linatosha kunifanya niamini na vitendo vyako vipo hivyo hivyo..lakini kama kweli una moyo wa huruma basi huwezi kusema maneno hayo..hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
hiyo habari ya lini??
basi na mimi ngoja nianzishe thread ya habari ilikwisha pita kitambo......SIMBA 5-0 YANGA
Wewe hili jina lako tu linatosha kunifanya niamini na vitendo vyako vipo hivyo hivyo..lakini kama kweli una moyo wa huruma basi huwezi kusema maneno hayo..
embu acha uzuzu ukibakwa wewe utajisikia vipi or ur kid????????:disapointed:hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.[/QUwabunge mliowzchagua tena wakiwemo wapinzani ndo waliona vyema kabisa dada zetu wapew ukimwi akaf mwshon waseme wanajiuza wakiwa chuon ndo maana wana ukimwi.. ila inauma saaaana hasa kwa sisi ambao ubavu zetu bado wapo huko na wanaotarajia kupelekwa huko... kwanza cion faida yyote mtu kulazimishwa uzalendo sanasan wanaenda kuongeza machungu tu bcoz mtu akishafanyiwa unyama ni lazima awe na hasira ya kulipiza.. daah dem wangu cjui atapona kweli coz mkali hatar
embu acha uzuzu ukibakwa wewe utajisikia vipi or ur kid????????:disapointed:
Kama haikuhusu sio laZima ucomment..maana mpaka saiv watu wapo jeshini..na hio thread si uanzishe tu ya nini kushoboka huku..rudi zako fb kwa michundo wenzako huko
mimi na wewe nani wa kurudi facebook? wewe umejiunga humu AUGUST 9 2013..........leo ni Sept 5 2013........ MAHESABU YUPO HUMU TOKA 27 JANUARY 2008
ILA NIMEPOKEA USHAURI WAKO
umeulizwa habari hii ya lini???? kwa taarifa yako habari hii ni ya siku nyingi sana na ilishajadiliwa hapa hapa........
mbona unatulisha viporo?
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
1. thread imo humu.......ni post ya tarehe 26 JULY ilianzishwa na ndugu mbeyatz
2. na tayari ni CLOSED TOPIC, wewe unakuja leo kusema ni "LEO"
3. Nisamehe kwa kusema haya ewe mtu wa Jf Sisi tuliotoka facebook huwa hatuko makini sana......
4.Nisamehe kwa kupitia kisichonihusu kwani sikupaswa nikukosoe....kumbe wewe ni "mkweli" na mimi ni "muongo" tena mzushi......
5. kumbe kuwa humu toka 2008 si kitu, na uzoefu si mwalimu mzuri........
6. siku nyingine ntakuwa narukia tu mada na kuchangia bila kutumia "mahesabu"
7.TUITWE KAMPALA TUPATANISHWE

PK ni yule anayepewa ushauri wa kawaida kabisa halafu yeye anasema UTTER NONSENSE........Heheh nani kati yenu ni PK