Binafsi siafiki kabisa suala la wanafunzi kupitia JKT . Hali hii ya kipuuzi/kinyama hata huko nyuma ilikuwepo sema kipindi kile magonjwa hayakua mengi. Lkn kwa nyakati hizi watoto wetu wataumia bure kisa uzalendo.
Sioni kwanini waliirudisaHuko ndiko kutakuwa na ubakaji wa watoto wa kike kwa kiwango cha kutisha na wengi kuambukizwa magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo ukimwi. JKT ni unyanyasaji na upotezaji muda na imeshapitwa na wakati.
Mkuu ktk hayo niliyopigia mstari umeniacha hoi. Anyway kila mtu ana mtazamo wake juu ya hili. Binafsi bado nasema siafiki , mbona wengi wamefanikiwa bila kupitia jkt. Unaposema juu ya ufisadi umeshawahi kujiuliza je hao wanaofanya ufisadi hawakupita jkt?Sasa hivi yakifanyika yatajulikana na yataisha kwasababu ya tekinologia ya mawasiliano kupanuka! JKT ni muhimu sana tena hata mgambo ifufuliwe na iwe lazima kwa vijana wote ili tuwe na taifa lenye watu wanaojiamini wenye utaifa ndani yao! Ndio tutaweza hata kupambana na ufisadi na umasikini! Je unajua kwamba mtu akitoka JKT anakua ameongezeka kiwango cha kujiamini? Umeshawahi kuona mtu asiejiamini aliefanikiwa kimaisha? eee, acha woga, kufa kambini ni ajali ya kawaida.
Siungi mkono wabakaji na wadharirishaji!
Sioni kwanini waliirudisa
umbeya na uzandiki. Wewe ni msemaji wa jkt au familia?
INNA LILLAH WAINNA ILLAH RAJIUUN!!
Duh!sasa hali mbona inatisha kama ndiyo hivyo? Jana nilimsikiliza baba wa huyo mtoto akilalamika alipokuwa anahojiwa na clouds fm,lakini hakusema kuwa mwanaye kabakwa isipokuwa alisema kwa mujibu wa vyanzo vyake vya ndani (wanafunzi wenzie wa huko kambini) ni kuwa mwanaye alikuwa hajarecover vizuri tokea amalize dozi ya mseto ya malaria na akalazimishwa kuendelea na mazoezi jambo lililopelekea ku-collapse akiwa kwenye parade.Wakampeleka kwenye zahanati ya ndani ya kambi ambayo inasemekana haina vifaa vya kutosha vya kitabibu ndiyo akafia hapo.Lakini yule mzee hakusema kuhusu kubakwa.R.I.P Halima
Mwakani nafikiri Mwanaasha Kikwete anamaliza form six (kama aliendelea na masomo ya advance) kama asipokwenda JKT wananchi tuizike rasmi hii system ya kuwapeleka watoto wetu huko.Huu ni upum.bavu mkubwa sana.
Serikali haina dini umeanza kutuletea udini wako mdini mkubwa wewe,jk aliwahi kuwa mwanajeshi yeye dini gani.Mimi nasikitika sana kwa dada zetu wa kiislam kwenda j.k.t, kwani dini yetu hairusiwi ni udhalilishaji mkubwa
Yani na wewe mtu mzima na uzee wote unaongea mambo ya kibavicha kiasi hiki.Mkuu ulitegemea aseme hayo kwenye vyombo vya habari!??, tayari ameshapoteza mwanawe apoteze na kucha na meno tena!? mi naona bora hajatamka kabisa...
Umeandika mambo mazuri halafu ukamalizia na ujinga ukaharibu mantiki yote uliyoandika.INNA LILLAH WAINNA ILLAH RAJIUUN!!
Duh!sasa hali mbona inatisha kama ndiyo hivyo? Jana nilimsikiliza baba wa huyo mtoto akilalamika alipokuwa anahojiwa na clouds fm,lakini hakusema kuwa mwanaye kabakwa isipokuwa alisema kwa mujibu wa vyanzo vyake vya ndani (wanafunzi wenzie wa huko kambini) ni kuwa mwanaye alikuwa hajarecover vizuri tokea amalize dozi ya mseto ya malaria na akalazimishwa kuendelea na mazoezi jambo lililopelekea ku-collapse akiwa kwenye parade.Wakampeleka kwenye zahanati ya ndani ya kambi ambayo inasemekana haina vifaa vya kutosha vya kitabibu ndiyo akafia hapo.Lakini yule mzee hakusema kuhusu kubakwa.R.I.P Halima
Mwakani nafikiri Mwanaasha Kikwete anamaliza form six (kama aliendelea na masomo ya advance) kama asipokwenda JKT wananchi tuizike rasmi hii system ya kuwapeleka watoto wetu huko.Huu ni upum.bavu mkubwa sana.
Naona aibu sana kuwa Mtanzania , iam not proud to be Tanzanian .
MTOTO WA MMBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI AMEHITIMU MaryGoreth na course 835KJ,her name ni J.G Ol....ye
Watu bwana!!! Sasa huyu mleta mada ameongea hapa bila kutoa uthibitisho wowote lakini wengi wetu tunaunga mkono kama vile tuna uhakika wa 100%. Hebu tujifunze kuhoji na kujadili hoja sio kushabikia.