Ubakaji JKT(mafunzoni)

Ubakaji JKT(mafunzoni)

Status
Not open for further replies.

mbeyatz

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
150
Reaction score
32
Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..

Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..

Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.

MY TAKE:
JKT NI SEHEMU YA KUPEWA MIMBA NA KUAMBUKIZWA MAGONJWA YA ZINAA KWA WATOTO WA KIKE KAMA WANAJESHI WETU HAWAWEZI KUBADILIKA KWA HILI BASI NI HERI WATOTO WETU WASIENDE VYUONI KULIKO KWENDA HUKO KWENYE 'MAFUNZO YA UZALENDO'..
 
There is a point.... Tutazame hili suala kwa jicho la tatu
 
Katika mafunzo kuna madudu yapo huwa hayasemwi tu.
 
Binafsi siafiki kabisa suala la wanafunzi kupitia JKT . Hali hii ya kipuuzi/kinyama hata huko nyuma ilikuwepo sema kipindi kile magonjwa hayakua mengi. Lkn kwa nyakati hizi watoto wetu wataumia bure kisa uzalendo.
 
Kwa sie tuliopita jesh,swala la kufanya mapenzi holela lipo kwenye kambi zote,na sio 2 Tanzania,hyo ni dunia nzima.
 
nimesikia baba wa marehem halima akilalamika kwenye kipind cha milad ayo clouds fm ni kweli ila wao wanaxema kafa kwa malaria.kuna umuhimu gan wa kwenda jeshn ikiwa hawajali afya za wanamafunzo?,ina maana serikali haioni hl? tanzania ni nchi ya watoto wa viongozi 2? tujuzane mtoto wa kiongoz gani ambae mwaka huu kaenda jkt hasa wabunge na mawaziri hata rais? jibu hakuna kabixa najua hili.sheria,uwongo dhuruma na matendo maovu ni hapa2 duniani haki mbinguni.rest in peace sister halima.Amen.
 
Kama JWTZ wanabaka hadharani huko Mtwara, tena uraiani, itakuwa huko kwenye makambi yao? Mabinti wajue huko JKT ndiko hatima yao ya mustakabali wao kielimu na kimaisha unakoishia. Watarudi toka mafunzoni na mimba, ukimwi na frastration kibao.
 
Duh, hii balaa sasa! Yale yale ya kipindi kile Jeshini yanarudi!!
 
Ww mtoa taarifa una uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.
 
Naona aibu sana kuwa Mtanzania , iam not proud to be Tanzanian .
 
Hayo ni mojawapo ya mambo nanyoyachukia kwa haya makambi ya majeshi yetu.Wamezoeshwa sana kufikiri hivyo.Majeshi yote huwa viongozi hulazimisha sana ngono za dezo kwa waoingia, na askari wa vyeo chini.huwagombania na kuwaaminisha kuw ani sehemu ya maisha kwa kiasi cha kwuafanya na wanawake wasio na uelewa kudhani kuwa ni sehemu ya kuhitimu n akupata urahisi kwa kuwa viburudisho vya wakubwa wa majeshi.


Miaka hii ya ukiwmi na uahdiafu wa mahusiano si salama sana kwa majeshi , taifa na familia zetu kwa ujumla.
 
Songea wananyolewa kwa wembe mmoja bila kujali athari za maambukizi ya magonjwa hatari kama UKIMWI.
 
Ww mtoa taarifa una uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.

Hata shetani hawezi kuleta pumba kama hizi.
 
Daa ili balaa kubakana tena basi wazitenganishe za boys na girls na kila moja inasimamiwa na jinsia husika
 
Halafu kama kuna taasisi ambayo wengi wao ni career basi mojawapo ni jeshi, waathirika ni wengi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom