Siku moja bwana mmoja mpare kwa kabila alitereza na kutumbukia kisimani,akapiga kelele kuomba msaada,mkewe kaja na kamba mpya kumuokoa,mpare akamuuliza,
Mpare: Hiyo kamba umenunua sh.ngapi?
Mke: Sh. elfu moja!
Mpare: Karudishe, kanunue kwa Mangi ye anauza jero. Fanya fasta nazama huku!!!