Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA


Kiwe na kitega uchumi unafikiri ni chama cha kibiashara hiki? Hatufanyi biashara kama ccm wanavyouza pembe za ndovu na madawa ya kulevya?
 
Mtu akipendekeza serikali TATU (Mansour) kwenu nyinyi ni haki kumfukuza, CHADEMA wakifuata matakwa ya katiba yao wao ni wabaguzi!
 
Sikujua kwamba Wapambe wa Lowasa Mnawaogopa Nape na Makonda namna hii

Umeona wapi chatu akamuogopa mbwa.Ukiwa rais wa nchi wewe ndio mteuzi wa nafasi za utumishi serikalini,taasisi,maahirika,vyombo vya ulinzi na usalama na kisiasa upande wa pili wewe ndio mwenyekiti wa taifa CCM.
Wasikusumbue hao watakuja wenyewe tena kwa kuungama.
 
MwanaDiwani acha kupotosha , cdm haina ugomvi na mtu yeyote anayefanya mawasiliano na taasisi yoyote ile , bali malengo ya masiliano hayo yasiwe hujuma kwa chama , na natoa onyo kwa yeyote mwenye lengo la kuhujumu chadema , hatomaliza hujuma hiyo na atabainika na kukamatwa haraka sana , ni heri kutafuta kazi halali za kufanya vinginevyo atadhalilika vibaya sana , pamoja na uzee wake mangula lakini hili tukio limeuumbua na kumdhalilisha sana na hatotakata milele ! cdm ni mpango mkubwa sana wa Mungu mwenyewe .
 
Vipi huyo aliyetoa tamko amegusia kutwesa kwa Kagenzi au amepotezea kwa kuwa si mchaga wala mkristo.

acheni unafiki, waraka wa TEC umeandaliwa tangu februari na kusomwa leo, huyo jamaa walimpapasa tu wiki iliyopita, chuki za udini zitatupeleka pabaya sana.
 
Inawauma nini wakati adui yenu anaharibikiwa? Mi nadhani mngefurahi kwamba wanafarakana....si tuliambiwa na wahenga adui muombee njaa?! Mchukueni mapema kabla hawaja patana tena, anaweza kuomba msamaha hadharani wakamrejesha mtakuwa mmemchelewa. Mbona yanga walipomzingua Okwi simba hawakuwahurumia wakamvuta chapchap. We mwanafiwani usijifanye una huruma sana na cdm sema una ajenda iliyositirika.
 

huna hoja, ni vizuri ukachukua shuka na kulala ujenge afya.
 
Wewe unachanganya mambo, suala la kutafuta habari na taarifa hufanywa na taasisi zote, hakuna ubaguzi hapo.
 
chadema bongo lala wamesahau usalama wa taifa walimzuia mbowe kwenda kwenye mazishi ya chacha wangwe kwa usalama wake

Mbona hao hao usalama wa Taifa walishindwa kumzuia Mchungaji Mtikila hadi akapigwa mawe kwa kutaka kuleta hoja za miCCM msibani?
 

Nenda Lumumba kachukue mgao wako,inaonekana ulikuwa unapumua sana ulivyokuwa unaandika.Kama huna jambo la msingi na lililofanyiwa utafiti wa kutosha,ni bora ukae kimya,kwani riziki itakuja hata kama hujaleta mada hapa JF
 
mkuu weka rekodi zako sawa. Ulimwengu hajawahi kuwa mkuu wa mkoa bali mkuu wa Wilaya Ilala na Singida. Ulimwengu, Castico na Balozi Bandora walinyang'anywa Uraia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…