Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Mohamed Salah ni moja kati ya wachezaji bora Afrika akiwemo Riyad Mahrez, Sadio mane, Aubamayeng, koulibaly, Hakeem Ziyech n.k.
1--Mohamed Salah na Sadio Mane
2--Riyad Mahrez na Aubamayeng
3--Hakeem Ziyech na Kolibaly
lakini linapokuja swala la kuwashindanisha baina yao na mmoja wao huchukua tuzo ya mchezaji bora wa afrika ama klabu yake, Anaonekana amependelewa kwa maana hakusitahili. Especially hao waarabu kutoka kaskazini mwa Afrika Mohamed Salah na Sadio Mane, au Riyad Mahrez na Aubamayeng, baadhi/wengi wao humkubari Sadio ama Aubamayeng kwa sababu tu weusi na sio uhalisia wenyewe, ama ni nini labda? Mo Salah na Mahrez vilevile hawakubaliki je, sababu ni nini labda? Uarabu unawaponza ama?
But kwa yule anaejitambua na anaujua mpira vizuri na kuweka ushabiki mandazi pembeni bila kuingiza ubaguzi wowote ule hawezi fanya hivyo.
Nimeona baadhi ama wengi wao wakimwimba Sadio na Aubamayeng na kuwaponda hao wengine hata kama wamefanya vizuri zaidi yao, wakati hata hao ni waafrika wenzetu pia japo tumetofautiana Rangi lakini wote kutoka bara moja.