Mohammed Salah atwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika 2018

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
IMG_20190109_052308.jpg

Mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Misri ameibuka mshindi wa kinyang'anyiro hocho kwa kuwabwaga, Sadio Mane na Pierre-Emerick Aubameyang

Hii ni mara ya pili kwa Mo Salah kutwaa tuzo hiyo, kwani mwaka jana alitangazwa kuwa Mwanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2017

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limewatangaza wachezaji wafuatao kuingia kwenye kikosi bora cha mwaka 2018

Denis Onyango, Serge Aurier, Medhi Benatia, Eric Bailly, Kalidou Koulibaly, Naby Keita, Thomas Partey, Riyad Mahrez, Mohamed Salah, Pierre-Emerick Aubameyang na Sadio Mane

IMG_20190109_054800.jpg
 
Sasa najiuliza ikiwa Samatta anatupia kila day
alafu First elevan Afrika hayupo hata sub pia hayupo...Tz
tusharogwa tangu ukoloni
 
Back
Top Bottom