Ubaguzi CRDB

Ubaguzi CRDB

Na za mtaani mkuu HD
vijamaa vinashindwa kusema wazi viliajiliwa kwa kupendelewa eti leo wanasema wamesoma sana. Hivyo vyeti dhaifu ndo viwafanye kujaa ofisini moja? Ilikuwa TRA, wakastukiwa, wakajaa CRDB, hivyo hivyo wanaalikana kikabila kama wanaoalikana kununua bidhaa duka la pale moshi.
 
Nashauri waondolewe wapelekwe halmashauri mbalimbali. Kila siku utetezi wao wanadai wamesoma, mbona sisi tumesoma na hatuna ajira? Mbona wengi tu huko wana vyeti vya kuchonga vya kariakoo? Pia nashauri serikali ifanye uhakiki wa vyeti mbona ajira tutapata huko.
 
Kuna kampeni kubwa sana naona inaendelea ya ukabila dhidi ya Wachaga.

Haipiti siku bila kufunguliwa uzi hapa wachaga wachanga wachaga.
 
Kuna kampeni kubwa sana naona inaendelea ya ukabila dhidi ya Wachaga.

Haipiti siku bila kufunguliwa uzi hapa wachaga wachanga wachaga.
Kampeni ni ya kuwageuza muachane na katabia ka aina hiyo. Ukabila hadi makanisani! Mkoa mzima hauna kiongozi wa Katoliki,anglikani, Lutheran ambaye ni kabila la nje mkoa. Lakini Wachaga wamejaa mikoa ya wengine. Au nalo ni kusoma sana?
 
Hofu yenu na wachanga ni kubwa na unyonge wa kihisia dhidi ya wachaga vyovyote muwazanyo sidhani itapunguza hari na spirit ya kupambana ila kwa haya ndiyo itaongeza mapambano tukijua wasio na mapenzi dhidi ya wachanga ni kubwa kuliko tulivyokuwa tunafikiri kwa maana hiyo tunajipanga kivingine.
 
Kuna kapatwa na jiwe gizani. Kwanin watu wa mikoa mingine wanapenda kushindana na wachaga?
 
Kwa hio tutegemee nini huyo aliyekua mkurugenzi wa CRDB akipewa uwaziri?Maana ni mbunge kwa sasa.
 
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile atm (yale magari yenye atm). mameneja wao huku kanda ya ziwa wanajitahidi kutafuta nyumba kwa ajili ya matawi, wanaingia makubaliano ya mwanzo na taarifa zinatumwa makao makuu ili waridhie ufungwe mkataba rasmi. chaajabu makao makuu wakiona jina la mmiliki wa nyumba hilielekei kuwa mcha......a(kabila moja maarufu la kaskazn linalomiliki hii nchi (huo ni mkakati wa mkurugenzi mkuu wao kutaka kuneemesha watu wa kwao tu) unarudishiwa majibu kwamba haiwezekani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
iligundulika dec 2012 sababu ya kukataa nyumba nyingi baada ya mpangishaji mmoja kuamua fuatilia ngazi ya mkoa na kupewa jibu la wazi na kweli na meneja.. wewe siyo mcha.............a hkamwe hututapangisha kwako, tunasubiri mwenzetu ajenge ndo tupange,tutaendelea na mobile atm.
huu ubaguzi unapunguza upanuzi wa HII BANK (CRDB) huku kanda ya ziwa kwa sababu hao ndugu zake mkurugenzi mkuu hawana nyumba za kuwapangisha baadhi ya wilaya huku lake zone.
nawasilisha wakuu, kama kawaida kunawatakao anza oh1 umejiunga leo, kwa taarifa yao mimi ni mzoefu humu jamvini,nimefanya hivi kwa sababu ya usalama wangu, nmanake hawa jamaa ndo kila kitu nchi hii.
Saa hizi wameshanyooka mkuu. Endelea kuchapakazi tu sasa!
 
Hofu yenu na wachanga ni kubwa na unyonge wa kihisia dhidi ya wachaga vyovyote muwazanyo sidhani itapunguza hari na spirit ya kupambana ila kwa haya ndiyo itaongeza mapambano tukijua wasio na mapenzi dhidi ya wachanga ni kubwa kuliko tulivyokuwa tunafikiri kwa maana hiyo tunajipanga kivingine.
Lakini Boss, umeulizwa hivi; Uchagani yote hakuna kiongozi wa dini na dhehebu lolote kubwa ambaye ni kabila jingine, sababu ni ipi? Nayo ni kusoma sana? Angalia Waislamu, Anglikana, KKKT, Katoliki. Unajisikiaje ukiwaona wachaga wakiwa mikoa mingine wakiongoza makanisa wakati mkoani kwao hawaruhusu kabila jingine?
 
Nepotism ni kitu mbaya sana, hatuwezi endelea kwa kuendekeza ukabila rangi, dini, n.k.

Inawezekana kabisa tatizo hilo lipo kabisa. Lakini kwa upande mwingine hebu fanya analysis kidogo kwa kuangalia idadi ya wanafunzi kwa makabila katika vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu. Jaribu kuangalia wanaohitumu fani ya uhasibu kwa makabila. Sasa ajira automatic ni lazima itaenda kwa huo uwiano.
Hiyo ilikuwa zamani mkuu, sasa hivi vijana wengi tu wa makabila tofauti wamesomea kozi hiyo wapo mtaani, lakini lisemwalo lipo kwa kuwa Hawa jamaa ndugu zao walitangulia kushika nafasi basi inakuwa rahisi kutoa upendeleo maalum kwa watu wa wakwao (wachagga).
 
vijamaa vinashindwa kusema wazi viliajiliwa kwa kupendelewa eti leo wanasema wamesoma sana. Hivyo vyeti dhaifu ndo viwafanye kujaa ofisini moja? Ilikuwa TRA, wakastukiwa, wakajaa CRDB, hivyo hivyo wanaalikana kikabila kama wanaoalikana kununua bidhaa duka la pale moshi.

sasa hivi wanapendelewa kina nani ?
 
Bado nawauliza kabila hili lina kasoro gani? Mbona hawajirekebishi? Au wanaamini iko siku nchi nzima itakuwa ni yao tu! Mbona idadi yenu haitoshi?
 
Lakini Boss, umeulizwa hivi; Uchagani yote hakuna kiongozi wa dini na dhehebu lolote kubwa ambaye ni kabila jingine, sababu ni ipi? Nayo ni kusoma sana? Angalia Waislamu, Anglikana, KKKT, Katoliki. Unajisikiaje ukiwaona wachaga wakiwa mikoa mingine wakiongoza makanisa wakati mkoani kwao hawaruhusu kabila jingine?
HAdi makanisani na misikitini. Kabila jingine likiongoza kanisa, wanalisusia
 
Back
Top Bottom