unajua ulichokiandika?huko kote alipewa na jk kulinda marafiki zake,nbc pia alikuwa mwenyekiti,haijalishi mbona donald mbando alikuwa DMO,RMO............hadi ukatibu mkuu na bila kosa lolote amepigwa chini.hapa ni kuangalia nani kaharibu wapi atunguli.
ASSAD NA ATUNGULIWE TU