Ubadhilifu katika Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,452
3,202
Zaidi ya Shilingi Bilioni 35.7 zikiwemo fedha za matumizi ya ofisi shilingi bilioni 5.7 na maendeleo Bilioni 30 zimetolewa
hazina na kuingizwa kwenye tume hewa ya ushirika kwa kutumia voti namba 24 katika kipindi cha mwaka 2010/2011 kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika.
ITV Habari.
 
Hiyo ndiyo ahadi ya maisha bora kwa wote wao lakini si wote sote. Hapa hatakamatwa mtu zaidi ya kuongezeana vyeo. Maana anaiba mmoja kwa ajili ya mtandao wake. Mnadhani hii pesa anayomwanga Lowassa na Membe inatoka wapi? Wabongo ndiyo waliowao ingawa hawakomi kuliwa. Endeleeni kuliwa hadi muishe ndipo mtashika adabu. Mali mnayo lakini mnaikalia wengine wakiwatafuna nyinyi. Naandika kwa usongo wanangu hasa kushuhudia haya mauza uza kila uchao. Natamani nijinyonge lakini si jibu.
 
Zaidi ya Shilingi Bilioni 35.7 zikiwemo fedha za matumizi ya ofisi shilingi bilioni 5.7 na maendeleo Bilioni 30 zimetolewa
hazina na kuingizwa kwenye tume hewa ya ushirika kwa kutumia voti namba 24 katika kipindi cha mwaka 2010/2011 kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika.
ITV Habari.

Kila mtu lazima atakula na kushibia ofisini au kazini kwake. Hiyo ndiyo sera ya nchi ilivyo
 
Back
Top Bottom