Ubabe wa Clouds FM uangaliwe

Mfanyakazi anafata sehemu yenye maslahi. Kama unafanya kazi serikalini,kampuni binafsi ikakupa dau nono zaidi ya serikalini ni lazima uhame ukapate dau nono.
unajua tasnia ya utangazaji kuna kuexpire tofauti na professional nyingine ... mfano mzuri unakumbuka Fredwaa alipokua RFA alikua ni hatari sana ila leo yupo clouds hana tofauti na kina mchomvu kwa hiyo cha kuangalia ni sehemu gani anafit
 

La PJ sioni tatizo na tuliomzoea tunaona yuko vile vile tu na kama kabadilika basi yawezekana ni mfumo au utaratibu mpya wa hapo Clouds fm. Ila kwa Kicheko nadhani kwakuwa ninamjua tena ' Kindakindaki ' tokea Kwao ' Mwananyamala ' ambapo ' Kashfa ' zake nyingi leo naziweka ' Kiporo ' kidogo. Kinachommaliza Mtangazaji huyu Kicheko kwanza ni kujisahau na kuona kuwa baada ya kutakiwa na CMG na kupewa Gari yake hiyo ' Nyekundu ' anayoitumia sasa ( ambayo hata hivyo alipewa ikiwa mpya kabisa lakini ukiina sasa hivi unaweza kusema Scraper linatembea barabarani kwa jinsi alivyoichakaza huku kila akipita nayo tu mitaani anaweka sauti ya juu na mguu mmoja akiunyanyua na kuweka juu ya dash board na dreads zake zikimsimama utafikiri Pilipli pori ) na ' Mshahara ' mzuri kidogo basi ndiyo ameshamaliza na ' kayapatia ' maisha hivyo kapunguza juhudi na ubunifu haupo tena. Na kubwa zaidi Mtangazaji huyu huko nyuma aliacha yale matumizi yake ya ' Kutukuka ' ya ' Ngada / Powder / Dawa za Kulevya ' ila nasikitika kusema kwamba Mtangazaji huyu amerudia tena ' kuyatumia ' japo Kisiri sana ila sasa amewekeza mno katika Kuvuta mno ' Bangi / Bange ' na Vijiwe vyake vikubwa ni viwili Kawe ' mnarani ' na Kawe ' Makaburi matatu bondeni ' ambako ndiko kuna ' Masela ' wake na hayo maeneo kila siku lazima ayapitie ili ' kushtua ' Kichwa na kupata ' Stimu '.

Siandiki haya yote labda kwa kumchafua au kumkomoa ila kinachoniuma ni kwamba hakuna ' Mtangazaji ' ambaye ana ' Vipaji ' vingi kama huyu Kicheko na kama angepata au atampata Msimamizi mzuri nawahakikishieni tutafaidika na kujivunia nae sana ila tatizo kubwa anapenda mno Ngada ( Unga ) na Puje ( Bangi ) na sasa imeshamuharibu kama siyo kummaliza na nina wasiwasi hata hapo Clouds Media Group ( CMG ) alipo sasa anaweza kupoteza ' Kibarua ' chake.
 
dah umenisikitisha sana mkuu kwa taarifa hii..na ninaona ina ukweli ndani yake ..kuna siku nilikua pale maeneo ya maringo akatokea maeneo ya kawe na hiyo gari nyekundu fujo nyingi mtaani sauti kubwa sana...kama ni hvyo basi anajimaliza mwenyewe..
 
Unataka nani auangalie? na ili iweje baada ya kuangiliwa.
Je hao walilazimishwa/wanalazimishwa?
 
Mawingu ukiwakimbia, wanacho fanya ni kukurudisha kwa gharama yeyote, kisha ukisha rudi kwao wana hakikisha wanakumaliza kwa kila hali na mwisho wana kumimina kama tenga la nyanya mbovu....
 
dah umenisikitisha sana mkuu kwa taarifa hii..na ninaona ina ukweli ndani yake ..kuna siku nilikua pale maeneo ya maringo akatokea maeneo ya kawe na hiyo gari nyekundu fujo nyingi mtaani sauti kubwa sana...kama ni hvyo basi anajimaliza mwenyewe..

Mkuu huyo Jamaa ni ' Mwanangu ' sana tena tokea Mwananyamala enzi hizo na nimeandika hayo kwa ' masikitiko ' makubwa mno huwezi amini Mtu wangu. Na hatari zaidi ' akishalanduka ' tu basi ghafla hapo hapo anageuka ' ngumi jiwe / mgomvi ' sema uzuri wake hata ' Ugomvi ' nao anaujua vile vile kutokana na kwamba ni Mtoto wa Kisela sana halafu alishafanya ' matukio ' makubwa na ya kutisha sana pande za Mwananyamala na najua wapo humu Watu wa Mwananyamala wanaomjua ' Kindakindaki ' pia.

Narudia tena kusema na kusisitiza kuwa japo ana hayo ' mapungufu ' yake yote ila ' Jamaa ' ana ' Vipaji ' vingi sana na ni ' Mbunifu ' mno kiasi kwamba kama akipata Mshauri / Kiongozi / Msimamizi mzuri sisi Wasikilizaji wa Redio tutafaidika nae sana. Ushawishi wake mbele ya Jamii hasa ya Vijana ni kubwa mno. Personally namkubali kinomanoma!
 
dah umenisikitisha sana mkuu kwa taarifa hii..na ninaona ina ukweli ndani yake ..kuna siku nilikua pale maeneo ya maringo akatokea maeneo ya kawe na hiyo gari nyekundu fujo nyingi mtaani sauti kubwa sana...kama ni hvyo basi anajimaliza mwenyewe..
Basi ndo inaweza kuwa chanzo cha kuondoka kwenye ze comedy eatv
 
Mawingu ukiwakimbia, wanacho fanya ni kukurudisha kwa gharama yeyote, kisha ukisha rudi kwao wana hakikisha wanakumaliza kwa kila hali na mwisho wana kumimina kama tenga la nyanya mbovu....
ndio zao hizo .wanataka kuona wao wako juu tu
 
Dah nakumbuka enzi hizo akiwa ze comedy show alikua anafunika sana na ni mbunifu kiukweli..lakini uhuni pia anao sana tu hata kwa kumuangalia..nikikumbuka siku anatambulishwa clouds fm yupo tumbo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…