Ubabaishaji wa UNICEF Tanzania

Ubabaishaji wa UNICEF Tanzania

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,249
Reaction score
4,537
Salaam Watanzania!

Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.

Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.

Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.

Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.

Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.

Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.

Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.

Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.

Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.

Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.

Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
 
Yaani ndo umelijua Leo mkuu. Hujui kuwa ulisoma uje kuwa kibarua.

Kuna mshkaji Wangu alifanya dizaini ya ghorofa kadhaa MZEE mwenye mchongo akapewa kitu kama Milioni 200 afu akampatia kijana laki nane.

Hakuwa anayependa ufanikiwe Bali akunyonye ili afanikiwe. Ivi haya history hujasoma jamani mabepari na mabeberu Kweli
 
Salaam Watanzania!

Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.

Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto...
Duuhh!! Pole sana mkuu for the bad experience.
Kwa shirika kama UNICEF, hapo itakua in uzembe binafsi wa ofisi yao ya Tanzania, specifically mtu ambae alikua anasimamia huo mradi/activity. Hapo utakuta wakubwa wao (UNICEF makao makuu) Hata hawajui kinachoendelea na huo ubabaishaji.

Cha kufanya: Nenda kwenye Website yao ya UNICEF, kisha ingia sehemu ya kureport fraud, click hapo then andika details za malalamiko yako exactly what happened.

Malalamiko yako yatapokelewa directly na UNICEF HQ na watafanya uchunguzi juu ya madai yako (wata reach out kwako pia na kuomba call na wewe pamoja na kuwafikia volunteers wengine pia kwa kuwapigia kuongea nao-kwenye details za malalamiko yako, hakikisha unaandika pia e mail address za baadhi ya volunteers mliokua nao angalau watatu ili waweze kuwafikia). Tumia link hii hapa Ku report incidence yako: i-Sight

Unaweza kureport issue yako bila kudisclose jina lako (anonymously) kama ukitaka. Issue yako itakua investigated thoroughly na independently, na jamaa waliohusika na hiyo issue watachukuliwa hatua za kinidhamu kulingana na taratibu za UNICEF.
sonofobia
 
Kwani nyie hamjagundua kwamba mnatumiwa na wakubwa kujipigia pesa. Hapo msichokijua Ni kwamba mpunga ulishaingia kutoka kwa wafadhili so kinachofanyika Ni kubuy time na kuwaonyesha wafadhili kwamba hela waliyotoa inafanya kazi
 
Lakini wakati mwingine nyie ndio mnaandika kwenye CV zenu kuwa mpo na 'Crativity skills and others' ila hapa inawezekana kwenye hiyo Campaign kuchangia chochote/wazo lolote lile!

So sad, unasema mlikuwa na kampeni ha miezi 6 (May to November, 2020) halafu unasema hujui kama imeisha.

Kama ni kweli pole sana!

NB; Vijana tunapopata nafasi ya kupata sehemu kwenda asubuh na kurud jioni kwa ajili ya kufanya shughuli yoyote, basi tutumie huo muda pia kujifunza mambo mbalimbali. Tusimpe muda wote muajiri.
 
Mimi nafikir itakuwa huko majuu watakuwa hawaelewi kinachoendelea hapa bongo so fuata ushaur wa mdau ambae amekushaur utoe malalamiko yako alafu uone nini kitatokea ila pole sana kijana mwenzangu
 
Salaam Watanzania!

Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.

Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.

Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.

Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.

Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.

Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.

Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.

Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.

Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.

Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.

Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
Hehe mi walinipa uongozi wa watu 10 kwenye hiyo campaign nikakaa kwa wiki 2 nikaona wanazingua nikawachana afu nikasepa
 
Dah aisee, sikutegemea unicef kwa ukubwa wao wafanye haya mambo.
Siku hata hawa wazungu wababaishaji, mimi nimefanya na NGO flani kubwa chini ya WFP, niliacha baada ya mwaka mmoja baada COO wao na CEO wote wamarekani wana ubabaishaji na uswahili uliyopitiliza sana.
 
Salaam Watanzania!

Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.

Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.

Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.

Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.

Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.

Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.

Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.

Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.

Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.

Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.

Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
Aisee pole sana. Na asante kwa kutufahamisha
 
Duuhh!! Pole sana mkuu for the bad experience.
Kwa shirika kama UNICEF, hapo itakua in uzembe binafsi wa ofisi yao ya Tanzania, specifically mtu ambae alikua anasimamia huo mradi/activity. Hapo utakuta wakubwa wao (UNICEF makao makuu) Hata hawajui kinachoendelea na huo ubabaishaji.

Cha kufanya: Nenda kwenye Website yao ya UNICEF, kisha ingia sehemu ya kureport fraud, click hapo then andika details za malalamiko yako exactly what happened.

Malalamiko yako yatapokelewa directly na UNICEF HQ na watafanya uchunguzi juu ya madai yako (wata reach out kwako pia na kuomba call na wewe pamoja na kuwafikia volunteers wengine pia kwa kuwapigia kuongea nao-kwenye details za malalamiko yako, hakikisha unaandika pia e mail address za baadhi ya volunteers mliokua nao angalau watatu ili waweze kuwafikia). Tumia link hii hapa Ku report incidence yako: i-Sight

Unaweza kureport issue yako bila kudisclose jina lako (anonymously) kama ukitaka. Issue yako itakua investigated thoroughly na independently, na jamaa waliohusika na hiyo issue watachukuliwa hatua za kinidhamu kulingana na taratibu za UNICEF.
sonofobia
Most helpful answer. Asante
 
Salaam Watanzania!

Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.

Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.

Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.

Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.

Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.

Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.

Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.

Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.

Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.

Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.

Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
Nadhani mashirika ya kimataifa yanamuongozo na kanuni maalum. Hadi unapo omba field lazma ukutane na hizo kanuni. Ktk maelezo yako kuna jambo halijakua sawa. Pengine maombi yako yamepokelewa kienyeji na afica wa ngazi za chini. Mashirika ya umoja wa mataifa hayana ubabayishaji uliooredhesha. Hata hivo jitahidi uripoti hilo suala kwa ajli ya kusaidia wengine....
 
Jambo lipi halijakaa sawa mkuu kwenye maelezo yangu?
Niambie nitoe maelezo zaidi.
Bado sijaelewa maombi yako ya attachement kama yalitumwa kwa mfumo rasmi? Je unao barua iliosainyiwa na ofica wa unicef? Kwa ajli ya kujibu maombi yako? Je Umepewa temporary acces card kwa ajli ya kutumia facilities za unicef.... Kama unao barua ya majibu kutaka mkuu yoyote wa kitengo chako. Na kama unao temporary acces card. Nakushauri zote unitumie kopy zake na cintact zako binafsi. Ntazituma moja kwa moja kwa representa wa un hapa Tanzania. Malalamiko yako yataskilizwa kwa haraka mno. Na utakua umesaidia watanzania wengine waliopitiwa hujuma kama uliotuelekeza... Ukiwa tayari uni pm ili nikupe njia ta kunitumia hizo nakala.
 
Kwa kweli maombi na process yote ilifanyika online na tumekuwa tukijaza online form kwa kila step au activity tunayofanya.

Sijawai kupokea barua yoyote wala hiyo access card. Wala hatuna access yoyote na facilities za UNICEF zaidi ya system yao ya Agora.

Ni hivyo tu mkuu.
Kama ulikua unatumia "online open survey". Ni dhahiri huwezi kutambulikwa na mfumo wa un/unicef. Mifumo ile inatumiwa na mawakala walio ajiriwa na un/unicef kwa ajli ya data colection ya nchi husika. Nakushauri ikikutokea kwa mara nyengine hakikisha unazo contack nzima ya ule admin wa research unaofanya. Kama unao email yake mwadikie barua ya kuomba upate certificate of apreciation kwa ajli ya kuboost cv yako. Bado safari ni ndefu....
 
Hapana bado mkuu, nilikuwa najipa muda kuona kama tutapata majibu ya kueleweka wiki hii ili nisionee watu lakini hakuna kinachoendelea.
Kesho nitafanya hiyo kazi.
Huwezi kupata msaada kutoka kwa watu ambao ni sehemu ya tatizo.
Njia pekee utapata msaada ni kama jambo hili litafanyiwa uchunguzi na watu ambao hawakuhusika kabisa na huo mchakato. Na your best option kwa sasa ni kuwasilisha malalamiko yako kupitia website niliyokwambia.
Huwa wako fair sana katika investigations zao, na kama kweli kuna uzembe waliohusika na huo ubabaishaji watachukuliwa hatua za kinidhamu kulingana na taratibu zao UNICEF. Huwa hawapendi kabisa kuchafuliwa jina kwa sababu ya uzembe/ubabaishaji wa wazi wa staff mwenyewe.
Fanya yafuatayo wakati unawasilisha malalamiko yako kwenye hiyo website.
1.Kuwa precise na elezea exactly kuwa tatizo ni nini?
2.Hakikisha una viambatanisho kadhaa ambavyo vita support claims zako (kuanzia your recruitment, na pia process ilivyokuwa)-eg scanned emails/screen shots zikionyesha mngelipwa internet allowance, na kupewa certificates, etc)
3.Hakikisha pia una majina na mawasiliano ya wenzako pia ambao mlikua recruited kwenye hiyo project, ambapo kwenye malalamiko yako pia utawataja na kutaja e mails zao kwa maana watataka kufanya ufuatiliaji kwa kuongea na volunteers wengine mliokua nao pia kwenye hiyo project wapate pia maoni yao.

Mkuu namna gani naweza report issues au malalamiko WFP?
 
Back
Top Bottom