Uasi wanukia CHADEMA

Utumbo mwingine ukisoma unajikuta unajutia muda wako uliopoteza kusoma.
 
Mbona slaa amungu mtu wenu liposema kuna mtoto wa kigogo amekamatwa china hakumtaja jina so we fanya utafiti wako utajua ukweli wa tarifa hizi.
 
Mnapojadili zingatieni ukweli kwamba Mhariri wa FAHAMU ni Bwana Charles Charles ambaye kwa sasa anafanya kazi CCM Makao Makuu ndogo Dar es salaam.<br><br>Baada ya kutambua hilo, sasa endeleeni kujadili mada huku mkizingatia hilo katika mjadala wenu
 
inasikitisha kuona ccm inategemea mgwawanyiko wa chadema ili ishinde 2015 poleni sana kwani chadema kina viongozi makini,hivyo hawatanunuliwa na mtu yeyote tokea ccm mnaweza mkapata dagaa madiwani wachache na viongozi wa bavicha mliowapa pesa za walipa kodi lakini hamtanunua nafsi za watanzania jezi zenu za kijani na njano kwa mapambo ya gharama kubwa hayatawapa kura kwa wananchi.Tunaomba muwaombe tume ya uchaguzi irudie uchaguzi wa madiwani waliobakia nchi nzima muone aibu yenu tunawasubiri 2014.Lowasa ndie atakayekumaliza nape pole sana,au gombea ubunge jimbo lolote tanzania uone tutavyokugaragaza.
 
Tanzania atuwezi kuendeleya kwa mtindo wa magazeti ya mafisadi kupotosha wana nchi kila kukicha wana shindwa kutoa elimu bora atimae kazi ni kuwapumbaza.
 
masalia at work!! ni bora kuwa msukule lamadi kuliko kuwa member wa MASALIA chini ya prezzo!
 
Uasi uko wapi hapo? Demokrasia ina namna mbalimbali za kuitekeleza, hivyo sioni ni kwa jinsi gani demokrasia haitekelezwi ndani ya CHADEMA ili hali wanachama wake (majority) wanamuunga mkono mwenyekiti wao kwa mtazamo huo wa kumpata mgombea urais ajaye!
 
Put CHADEMA on defensive - this is your strategy. Na kama wana CHADEMA wakiingia kujitetea kwenye hizi HISIA za mleta thread, watakuwa wamejishusha sana. Hii ni kama mtu kukuzushia kifo - na wewe mwenyewe unaanza kujitetea sijafa! kha! Huna haja ya kujitetea bwana - kula maisha, achana na wazushi!
 
mtu akiisema vibaya cdm ndipi na watoto wake wanaongeza kasi ya kuitikia vichocheo,poor to you mhariri
 

Kama wangetokla hata kesho ingekuwa safi sana kwani makapi yangetoka mapema then tupate muda wa kujipanga.
 
Hata babu yetu Eduu, hawapendi kabisa hawa "chasaka" yaani huyu zzk, sabodo sorry Shibuda na wengine wachache sijui wametokea wapi yesu wangu.. wanatufurugia chama kumbafu sao...

Kila chama lazima kiwepo watu wanaopingana ili kuleta ufanisi sio zidumu fikra za mwenyekiti.Na sehemu yoyote kwenye changamoto kunaufanisi wa hali ya juu.Sidhani hao uliowataja uliwaingiza wewe kwenye chama,chama kina taratibu zake za kufuata kama member amenda kinyume na maadili sio kuropoka kama unavyofanya.
 
hata kama habari hiyo ingekuwa na ukweli, CHADEMA ilipofikia kamwe haiwezi kufa. wanaotaka kuondoka njia nyeupeee na watashangaa tutakavyo zoa majimbo zaidi ya 160 come 2015 election. kiukweli Dr wa ukweli ndio chaguo la wanachadema na ndio pendekezo la MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…