Uasi wanukia CHADEMA

Uasi wanukia CHADEMA

Katika gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea kuwagawa ktk mbio za urais 2015.

Yameandikwa mengi lakin imeelezwa pia wabunge wakikaa kikao ktk hoteli moja magomeni na kujadili kauli ya Mbowe kumpigia upatu Dk. Slaa na kufikia conclusion kuwa ina madhara ya kukigawa chama.

Na mbunge mmoja aliweka bayana kwa mwandishi kuwa demokrasia isipozingatiwa watafanya uamuzi mzito ikiwa ni pamoja na kujienguaili kulinda heshima zao na wapigakura wao. Mambo yanazidi kupamba moto CHADEMA, mtafika kweli 2015?

Waondoke wote kama Masalia mkuu!! CDM ni kubwa kuliko idadi ya hao wabunge!! Nao watakuwa wasaliti vile vile kama Masalia tu.
 
Hilo nalo gazeti au udaku?
Katika gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea kuwagawa ktk mbio za urais 2015.

Yameandikwa mengi lakin imeelezwa pia wabunge wakikaa kikao ktk hoteli moja magomeni na kujadili kauli ya Mbowe kumpigia upatu Dk. Slaa na kufikia conclusion kuwa ina madhara ya kukigawa chama.

Na mbunge mmoja aliweka bayana kwa mwandishi kuwa demokrasia isipozingatiwa watafanya uamuzi mzito ikiwa ni pamoja na kujienguaili kulinda heshima zao na wapigakura wao. Mambo yanazidi kupamba moto CHADEMA, mtafika kweli 2015?
 
Ningefurahi sana kama ZZK angeondoka na panya wake jana/juzi.
Ningefurahi sana kama SHIBUDA angekimbia bila kufukuzwa toka mwaka jana!!
Let them GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!! Traitors!!
Usihofu,
Chadema ni kama senene, Huwa wanaanguka wakati wa msimu na wakiisha anguka hupotea within few day wanabakia panzi wachache sana
 
Vigogo wote wa CCM kuanzia
Wassira walishatabiri kwamba CDM kitakufa kabla 2015. Sasa hao wabung 60
wa CDM watakaoasi 2015, wataasi chama gani wakati CDM kitakuwa TAYARI
KIMESHAKUFA?! Sijawahi kusikia marehemu wAKIASI marehemu wenzake.

Ukiwa muongo basi lazima pia uwe na kumbukumbu

mosi habari haijaandikwa na mzee wasira, pili watajiondoa baada ya uchaguzi wa ndani ambao km kweli mwanacdm unajua utafanyika lini so wao ndo wataosaidia kutimiza utabiri wa mzee tyson.
 
Katika gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea kuwagawa ktk mbio za urais 2015.

Yameandikwa mengi lakin imeelezwa pia wabunge wakikaa kikao ktk hoteli moja magomeni na kujadili kauli ya Mbowe kumpigia upatu Dk. Slaa na kufikia conclusion kuwa ina madhara ya kukigawa chama.

Na mbunge mmoja aliweka bayana kwa mwandishi kuwa demokrasia isipozingatiwa watafanya uamuzi mzito ikiwa ni pamoja na kujienguaili kulinda heshima zao na wapigakura wao. Mambo yanazidi kupamba moto CHADEMA, mtafika kweli 2015?

Propaganda! Mwaka huu nyie magamba Mtakufa kwa kihoro
 
Back
Top Bottom