Uasi wanukia CHADEMA

Uasi wanukia CHADEMA

Hizi siasa kweli pasua kichwa, sasa hao wabunge wakiondoka kisa kauli ya mbowe ina maana hakuna watu wengine wa kugombea? si waende tu, na hayo magazeti mengine ya DAR tu bila kutaja CDM hawauzi kweli wanapata mlo kupitia neno CDM.
 
Hlo gazet ili liuzwe ni lazma liandke habar ya chadema kama halikuandka bas cku hyo hata gazet 100 haziuzw kwamujbu wa wauza magazet
 
Hizi habari uchochoroni kabisa! Sasa gazeti la fahamu ndiyo gazeti gani? Maana kila siku promagamba na masalia huwa mnalitumia kuleta pumba humu.
 
Waondoke tu...hata mbowe akitusaliti chadema kitabaki pale pale...chadema isn't a person buh is an association...no person is greater than chadema..na one other thing...dont think that all who are in the parliament or government are better than the rest who aint in politics...
 
YAANI UTOKE PATAKATIFU UKIMBILIE KWA MAJANGILI WA TEMBO USEME UNALINDA HESHIMA YAKO!!! Kwenye akili zao lazima kutakuwa na microchip ya ccm, sifa ya hii chip ni kureact against any good thing kwa wananchi, na atakayenibishia lazima, nasema lazima anayo hii kitu.
 
chadema ina watu wengi sana zaidi ya milioni 4.majimbo hayazidi 400.tutagombea wengine.WAONDOKE TU.

narudia tatizo la wakelekdtwa wa cdm elimu ona huyu na unaweza kuta yupo kamati kuu
 
Hata wandoke wote tubaki na makamanda 2 tutakwenda tu na hapo ndo itakuwa fresh sana
 
narudia tatizo la wakelekdtwa wa cdm elimu ona huyu na unaweza kuta yupo kamati kuu

Huyu ni miongoni mwa wenye microchip, kama anabisha ajadili hapa "kwa nini visa vya matukio ya ukamatwaji wa meno ya tembo umeshamiri sana baada ABDULRAHAMAN KINANA kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa ccm huku meli zake zikihusishwa kutumika kubebea shehena ya vipusa hivyo"
 
mbivu na mbichi za wenye cdm sasa zinaelekea kuiva. ni makosa sana kujiunga na watu usio wajua.
 
Magazeti ya Uhuru na Mzalendo na lile la habari leo yamekuwa mengi sana. Bila CDM huwezi kuwa na habari. Haya tumewasikia mbona hamuandiki habari za Deep Green, EPA, Rushwa, Ufisadi wa Ridhiwani na Mfalme Jakaya?
 
Kwahiyo maproCDM hamtaki habari za chadema ziandikwe ktk magazeti?au ni kwamba mambo yenu mnayotaka yasijulikane hamtaki yawekwa hadharani? Ndo mjue tamu ya demokrasia,ukisikia uhuru wa habari ndio huu.
 
Unless hutak ukweli bt cdm hakupo sawa....ni lazima kifanyike ki2 ili 2015 2ikute 2kiwa na nguvu...
 
Kwenye post yako nimeona neno 'conclution' bhaasi
 
Ningefurahi sana kama ZZK angeondoka na panya wake jana/juzi.
Ningefurahi sana kama SHIBUDA angekimbia bila kufukuzwa toka mwaka jana!!
Let them GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!! Traitors!!
Hata babu yetu Eduu, hawapendi kabisa hawa "chasaka" yaani huyu zzk, sabodo sorry Shibuda na wengine wachache sijui wametokea wapi yesu wangu.. wanatufurugia chama kumbafu sao...
 
Naomba ma Mod watengenze caption/option ya "dislike" bse kuna taarifa zingine hazina kichwa wala miguu.

Mimi mbona simngojei MOD kuiweka "dislike" Mimi nina dislike ushauri wako kwani watu kama nyinyi mtaitumia vibaya. Wewe ukitajiwa CHADEMA utaweka dislike , magamba nao wakitajiwa CCM wataweka dislike ,yule akitajiwa Zitto ataweka dislike, tena utakuwa mchezo wa kitoto humu.
 
Kwenye post yako nimeona neno 'conclution' bhaasi[/QU
haa haa,hauko sereous,nashangaa kwanin umakini wako haukukusaidia kuondokana na MISWAKI ktk english enzi zako sekondari.asante lakin
 
Kwahiyo maproCDM hamtaki habari za chadema ziandikwe ktk magazeti?au ni kwamba mambo yenu mnayotaka yasijulikane hamtaki yawekwa hadharani? Ndo mjue tamu ya demokrasia,ukisikia uhuru wa habari ndio huu.
Kama kulifungia Mwanahalisi ndiyo uhuru wa habari?.
Habari hazina ushahidi unasema habari, Kwani Dar kuna Hoteli inaitwa Moja pale Magomeni? weka na jina la Mbunge!, ili kuthibitisha ukweli wa Pumba hizi
 
Kama kuna mbunge wa CDM atayehama kwenda CCM basi ufahamu wake utakuwa na walakini na atakuwa ajui siasa na hana uchungu na nchi.
 
Back
Top Bottom