Ila nikukumbushe upinzani hakuua ila aliuimarisha🤔.na ndio unao watesa nduguzake, ule wa nje uliokuwa hatari zaidi na unaomea chumbani kwao hii Leo 🤸 .Hawa watu hawajui magu aliharibu mifumo kwa upande flan japo alikula mfupa uliowashinda wengine.. Kuna wkt magu aliharibu mtake msitake.
Kwa mfano, kujitenga na magharib ni kosa.
Kutengeneza makundi ni kosa gang hizi ni upuuzi.
Kutoshinikiza katiba na kuilinda yye aliikiuka kuivunja
Kutengeneza wahuni..wakina sabay na makonda...
Kuua upinzani ni kosa kubwa sana
Huyo ni chadema, anajaribu kuchochea kuni,, sasa birika likichemka sijui ndugu zake huko kijijini atawahamishia wote UK..Kushindwa kutaja kundi hili kwa jina lake halisi ni dhahiri upo upande gani!
Tatizo wanaume wa ujerumani hawazai,, nchi inakuwa underpopulated,, kama sio kuwakaribisha waarabu kukaaa germany ingebaki mahame tu.Kuibomoa nchi kongwe na tajiri kama Ujerumani inachukua hata karne na Angela Merkel ameanzisha hilo tayari, miaka michache ijayo Ujerumani itakuwa siyo Christian Country tena na hiyo yote ni sababu ya Angela Merkel, lkn sitaki kuzamia sana huko kwenye mada ya Ujerumani turudi hapa kwetu, tuna kazi kubwa ya kufanya …
Aisee I never expected this..! Especially from you!Huyo ni chadema, anajaribu kuchochea kuni,, sasa birika likichemka sijui ndugu zake huko kijijini atawahamishia wote UK..
Ujue mijitu mingine huwa haiwezi ku focus mbele,,, yaani hapo njaa tu zinamsumbua, anatamani chadema hata wapindue nchi ili apate hata uofisa tarafa tu,. [emoji1745]
Hakuna kitu kinaitwa sukuma gang ni conspiracy tu kuharibu reputation ya watu fulani
Kuhusu ccm maji ndio kwanza yanachemka
Naamini lile tamko la jeshini halijatoka bahati mbaya
Tuombe busara itawale wastaafu wasitumie nguvu zao vibaya
Wabongo sio wa kuwategemea,ukijidai kukomaa utanyooka mwenyewe,Mbowe yupo huko anateseka hakuna anaejali.Raia wa Tz wasio na meno ni kama mazombi,ata mkiambiwa cha kufanya hamtofanya maana kuandamana tu kunawashinda.
Mfano hauakisi hali halisi, wakati wa samsoni, israel ilikua hajawa nchi walikuwa wanaishi chini ya utawala wa filistine, walikuwa hawajawa hata na mfalme wao, kwa maana saul alikua hajawa mfalmeRemember Samson? Who destroyed him? They’re destroyers!!
Golda Meir,. Israel woman commander in chief... [emoji851][emoji851]USA haijawahi kujengwa na Mwanamke, kwanza hata kupiga kura Wanawake wameanza kuruhusiwa miaka ya 60‘ hata Ulaya pia Wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura.
Labda nikuulize ulishaona General wa Jeshi Mwanamke Dunia hii anayeongoza vita dhidi ya Adui ?
How?, Sio nyie jf, enzi za chuma, mkawa mnamsifia january kuwa ni kiongozi mzuri? [emoji23][emoji23][emoji23]Wataje tu Mkuu January na Nape ( Kigogo )
Wanajiona wana hatimiliki ya hii Nchi
Usiwe na wasiwasi, hata huko ethiopia baada ya tigray kupoteza madaraka, wakaanza figisu, wakidhani bado wanacontrol system,,, lakini drone za mchina na iran zilipoanza kuwatia displine, hawaaamini mpaka saa hii na watachakaa kweri kweri[emoji38][emoji38]Whatever Is Coming, Let It Be.
Wanaifanya nchi yakwao peke Yao nasisi watanzania tunakenua tu kama mingese vile, tupaze sauti rasilimali za nchi zinatafunwa na wachache, kila siku machawa wa SSH wanaongezeka kulinda matumbo Yao wanatufanya watanzania maiti manina
Jeshi limetoa kauli la KUHESHIMU KATIBA NA KUMLINDA RAISNdio maana waliona waanze kumtoa tumbo tumbo then wafate na stone hili kwenye chama abakie mmoja mwenye nguvu, maana yule mwenye miaka 90 akili isharudi utotoni......lakini yote kwa yote huyu bi mdashi hasifikiri kundi jipya kukaa kwake kimya ni kwamba wamefyata.......jeshi la wananchi limetoka kutoa kauli majuzi na hiyo sio kawaida, that means huko juu wameshindwa kupata mapatano.
How?, Sio nyie jf, enzi za chuma, mkawa mnamsifia january kuwa ni kiongozi mzuri? [emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu haliendani na mfano niliotoa. Hapa nazumgumzia jinsi Samson alivyokuwa victim kwasababu ya mwanamke!!Mfano hauakisi hali halisi, wakati wa samsoni, israel ilikua hajawa nchi walikuwa wanaishi chini ya utawala wa filistine, walikuwa hawajawa hata na mfalme wao, kwa maana saul alikua hajawa mfalme
We ndo hujaelewa samsoni alikamatwa kwasababu aliua watu lukuki ili apate magovi ya kulipa mahali, alichoma mashamba ya watu moto,Jibu haliendani na mfano niliotoa. Hapa nazumgumzia jinsi Samson alivyokuwa victim kwasababu ya mwanamke!!
Aliyedanganywa aka toa Siri ya nguvu zake alikuwa nani? Unamfahamu?We ndo hujaelewa samsoni alikamatwa kwasababu aliua watu lukuki ili apate magovi ya kulipa mahali, alichoma mashamba ya watu moto,
Homicide&Arson,
Huyo anakuaje victim?
Alikamatwa na serikali wakampeleka mahakamani na huko akafanya suicide mission.
In short, Samsoni ndio gaidi wa kwanza kabisa hapa duniani