Uanzishaji na uendeshaji wa kampuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uanzishaji na uendeshaji wa kampuni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MIUNDOMBINU, Apr 23, 2011.

 1. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
  Amani iwe kwenu nyote wana JF!
  Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
  (1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa?
  (2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko?
  (3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu?
  (4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf kampuni ya Bw Lakeshi ikiomba mkopo wa tsh 50 ml inapata haraka tu na kampuni ya Bw Masawe ikiomba mkopo km huo iazungushwa weeeee dakika za mwisho inaambiwa haina sifa za kupata mkopo, japo kampnui zote mbili zinasifa sawa tu?
  (5) Kwa nini Serikari ya TZ inaonekana kuzipatia kipaumbele sana kampuni za kigeni kuliko za wazawa?

  Ngd zangu ninaomba mchango wenu wa kimawazo ili hatimae tuweze kujibu maswali hayo ufasaha, ninaamini kama tutajibu kwa ufasaha mkubwa basi majibu yetu yatakuwa ni msaada mkubwa sana kwa watu wengine.
  Mimi nina amini katika ushirikiano, tukishirikiana kimawazo tutaweza kuboresha kazi zetu za kila siku hatimae kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu. PAMOJA TUNAWEZA!

  Baada ya kusema hayo ninatoa mchango wangu kwa kuwapatia baadhi ya miongozo mbali mbali ya kuanzisha na kuendesha biashara ambayo ni mkusanyiko wa maada mbali mbali ambazo nimezitoa katika vyanzo mbali mbali. Asanteni

  NB ninaruhu kukosolewa kwa nia ya kujenga.asante
   

  Attached Files:

 2. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280
  Mojawapo ya sababu kubwa ya kufa kwa makampuni ya kibongo ni kuiga biashara. ikitokea challenge kidogo ama competition ikongezeka watu wanashindwa kustahimili. Sababu ingine ni cashfloww management problem inafika wakati makampuni yanashindwa kumeet financial obligation kutokana na kurun out of cash (temporary) bank ambapo zingekuwa zinatoa temporary OD. so hii inaffect morally ya wafanyakazi pale wanaposhindwa kulipwa kwa wakati.

  sababu ingine biashara nyingi kuendeshwa kifamilia zaidi badala ya kutumia wataalamu so ikitokea family problem kidogo inafail(mfano UNNAT fruits processing Morogoro)
   
 3. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 4. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu big up huu ni muongozo muhimu sana
   
 5. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Additionaly, a lot of new business owners in Tanzania are first generation entrepreneurs. There is no one to teach you the most basic things.
  Of these new entrepreneurs, some are in it to make quick bucks and move on to the next quick deal and some are doing it because they are passionate in the venture.
  The quick bucks ones are the mission town or briefcase companies. They don’t care about growing the business. Not passionate ndio maana they are not innovative hence not competitive.
  The passionate ones do care about growing the business. They have a vision. Unfortunately some of these are let down because of many reasons amongst them being:
  1. Lack of enough capital – but not a reason to stop a good idea. Just start small and grow.
  2. Lack of business management skills
  a. Taxation laws, it is easy to make a honest mistake because you didn’t know but TRA wanawea wakakufirisi bila huruma. Make sure you file and pay your provisional returns correctly and in time to avoid fines and penalties. Bila kusahau annual returns at BRELA. Na mambo mengine mengi tu.
  b. Human resources management – kuajiri na kumanage watu is a mission. Hapa labour law zitakusumbua ukikosea.
  c. Lack of improper accounting, this could cost you in both time and money. Account for every single penny you earn and spend.
  3. The biggest of all is a good succession plan. Your company must run even when you are not there. You need a system. Failing to place a good succession plan will make you become the HR, the MD, the customer service representative, the receptionist, the cleaner, etc. This will cost you time to grow your business.

  Otherwise owning your own business is very rewarding and pays off if done correctly.

  Good luck!
   
 6. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mkuu. Asante sana kwa mchango wako. Kuna point hapo nimezikoleza kwa wino mwekundu, kwangu naona ni baadhi ya matatizo makubwa yanayozikabiri kampuni zetu. Jamani hebu tubadilike ili tuweze kukua kibiashara.
  Mungu akubariki mkuu.
   
 7. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  MKUU.nimekubali sana, umegusa maeneo mhimu sana, duh kweli JF ni kila kitu, mpaka nasikia furaha kuwa mahari km hapa hakuna ninachopoteza zaidi ninaongeza ujuzi na maarifa. Mkuu ubarikiwe sana.
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  watanzania wengi tunapenda uubabaishaji mwingi na shortcut nyingi na akuna ufwatiliaji wa kina mf umesajili.kampuni lakini aina ofisi na unasupply serikali na awajai kuja kuona ofic. Kuhusu mikopo makapuni mengi yawabongo ngumu kupewa kwani wakipewa hawarudishi lakini hao wahindi wannayaliza mabenk kila ck na bado wanapewa
   
 9. M

  Mary Glory Senior Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wengi wanataka mikopo si kwa ajili ya kile walichokisema kwenye bness plan zao.ukifanya physical inspection utagundua biashara yenyewe wala haiko kama mwombaji wa mkopo alivyo jieleza kwenye papers zake,ndo maana mikopo hawapewi.pia tatizo jingine wabongo wengi hawana commitment kwenye biashara zao.unakuta mtu kwasababu biashara ni yake basi anafungua au kufunga muda anaotaka,atachukua hela bila mpangilio fun enough unakuta mbongo hana hata vision analysis ya biashara yake.wanasema hivi "if you dont plan,that means you have plan to fail.YOU MUST PLAN
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pamoja na yote mimi bado nakereketwa na suala la wadosi ambao ni matapeli kama bongo nyeusi kupewa mikopo wakati wazawa wanakosa!!!!!!!!!! Kuna siri gani hapa wakuu????
   
 11. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Many young people fail in business not because they are weak at innovation but because they lack experience to guide them through.
   
 12. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  ANGALIA MAJIBU HAYO:
  (1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa? Kukosa Malengo!
  (2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko? Ufisadi na viongozi bomu wanazifilisi!
  (3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu? Utapeli pamoja na ubinafsi umezidi katika uendeshaji wake !
  (4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf. Nyingi zinamilikiwa ama kuongozwa na mafisadi!
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  asante sana mkuu nitaenda net kuziangalia hizi docs
   
 14. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Na sababu nyingine ni watu kuanzisha biashara bila ya kufanyia tafiti na michanganua ya biashara.....business plan kama invojieleza ni muongozo ambao unatakiwa kufuatwa kiutekelezaji na sio kuombea mikipo tu. Lakini utakukata wafanyabishara wengi hawana business plan na kama wanazo ni kwa ajili ya kuombea mikopo benk tu... business plan inatoa muongozo wa bishara kwa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Na ukifuatwa unamuwezesha mfanyabishara kuweza kutadhimini biashara yake kila baada ya muda fulani kuona nini changamoto zilizopo na furksa gani zilizopo kwenye soko, hivyo kuwezesha kuepuka maanguko yanayokweza kukwepeka kwenye biashara.
   
 15. K

  Kimbo Member

  #15
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  no skill ,no victory
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kufanya biashara kunainvolve risk,watu wanaiga biashara za wengine wakiogopa kuongeza kiwango cha risk.Hivyo ubunifu na kumwaga hela huko unaongeza risk ambayo inaweza kukutoa cetaris peribus.
   
 17. babalao

  babalao Forum Spammer

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
  Amani iwe kwenu nyote wana JF!
  Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
  (1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa? - (Kukosa ubunifu kukosa utafiti)
  (2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko? (Sababu ya kuiga kutotafiti)
  (3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu? (Ubabaishaji)
  (4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf kampuni ya Bw Lakeshi (Kukosa uaminifu) ikiomba mkopo wa tsh 50 ml inapata haraka tu na kampuni ya Bw Masawe ikiomba mkopo km huo iazungushwa weeeee dakika za mwisho inaambiwa haina sifa za kupata mkopo, japo kampnui zote mbili zinasifa sawa tu?
  (5) Kwa nini Serikari ya TZ inaonekana kuzipatia kipaumbele sana kampuni za kigeni kuliko za wazawa? (Kutoaminiana na kukosa uzalendo)

  Ngd zangu ninaomba mchango wenu wa kimawazo ili hatimae tuweze kujibu maswali hayo ufasaha, ninaamini kama tutajibu kwa ufasaha mkubwa basi majibu yetu yatakuwa ni msaada mkubwa sana kwa watu wengine.
  Mimi nina amini katika ushirikiano, tukishirikiana kimawazo tutaweza kuboresha kazi zetu za kila siku hatimae kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu. PAMOJA TUNAWEZA!

  Baada ya kusema hayo ninatoa mchango wangu kwa kuwapatia baadhi ya miongozo mbali mbali ya kuanzisha na kuendesha biashara ambayo ni mkusanyiko wa maada mbali mbali ambazo nimezitoa katika vyanzo mbali mbali. Asanteni

  NB ninaruhu kukosolewa kwa nia ya kujenga.asante

  MAJIBU NIMEWEKA KWENYE MABANO
   
 18. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu Baba lao Asante sana kwa mchango wako wa mawazo.
   
Loading...