Uandishi wa vitabu utanitoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uandishi wa vitabu utanitoa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cassava, Dec 28, 2010.

 1. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wana janvi habari zenu na poleni kwa shughuli za hapa pale.

  Naombeni ushauri na maelekezo kuhusu utungaji na uandishi wa vitabu.

  Mimi naishi mkoani, nimekuwa nikiandika vitabu lakini sija chapisha hata kimoja, sasa ninavyo viwili viko kwenye soft copy.


  Sasa naombeni kufahamu yafuatayo;
  1. Ni publisher yupi anayeaminika kwa Dar na bei yake ni reasonable kwa karatasi nyeupe na picha za rangi kitabu chote?

  2. Je, Ku publish kitabu cha page 150 inagharimu bei gani?

  Kwa yeyote mwenye uelewa naomba anisaidie.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ingia hapa mkuu: publishers utapata adress zao na namba za simu.
   
 3. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nami naomba kujua umetunga kuhusu nini?
  Japo utaona nimekua tafauti na msaada uliohitaji...
   
 4. babalao

  babalao Forum Spammer

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Cassava Tatizo lako linalokushinda kuchapisha vitabu ni nini? Pesa au kitu gani. Njia za kuchapisha kitabu ziko 2. Kwanza unaweza kukisimamia mwenyewe kulipia uchapishaji na kusambaza au kutumia publisher. Njia ya kwanza ni rahisi kwa sababu haina mikwara ukielekezwa unaweza kufanya. Njia ya pili ni ngumu kwa sababu Publishers wa tz siyo waaminifu pia inabidi waukubali mswaada wako ndiyo kichapishwe na kusambazwa kulipana napo ni matatizo. Mimi ni mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nimechapisha nakala 4,000 na nimeuza nakala 3,000 tangu mwaka 2008. Tuwasiliane ili nikupe ushauri. Nipigie simu 0755394701.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  wACHAPAJI NI WEZI WAKUBWA, WASAMBAZAJI NI WEZI ZAIDI NA KIBAYA ZAIDI WATANZANIA WENGI HATUNA UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU
   
 6. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mikela bana!!
  Hiyo thread yako inatukatisha tamaa sisi tunaoanza na utayarishaji wa kuandikiwa vitabu. Huoni ingekua vzuri utuelekeze namna yakujiepusha nao! Ili tuendeleze malengo yetu.
   
 7. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  umesema ukweli kabisa, lkini je solution yake ni nini?
   
 8. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Asante sana kaka, nitakutafuta na nitakuja dar, muda si mrefu.
   
 9. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka asante sana, nimefurahi, sasa nitawasiliana na mmoja baada ya mwingine kwanza.
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Karibu sana ndugu, ila ujatufahamisha maudhui ya vitabu vyako.

  Kama utaitaji mtu wa kuvifanyia uhakiki, mimi najitolea kukusaidia.
   
 11. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Wasomaji wa vitabu tupo...ila kuna ladha fulani tuliyoikosa,ambayo imepoteza morari kiasi kikubwa wa kusoma vitabu...nijuavyo jamvini humu kuna magwiji wa uandishi,wachambuzi,wahariri na mmoja mmoja asiye kwenye tasnia ya uandishi ambao kama watakuconsult unaweza kuwa Egie Ganzel wa kizazi chetu (huyu ni mfano tu ila wapo wengi wengine naothamini michango yao)
   
Loading...