Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Mbona ameandika vizuri tu kwa elimu yake.

Angesema anayo degree ya lugha ya Kiswahili kama kweli ipo ndio ungeleta hapa tumchambue.

Inaonekana wewe ni jinga fulani.
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.

Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..

Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.

View attachment 2745599
 
Ukishaona mtu anatumia emoji nyingi kwenye uandishi wake ujue ni tatizo huyo.
Hapo hata kusoma alichoandika sisomi
Huwa ni tatizo la kihisia, mfano angalia hapo huyu jamaa anataka kuwasilisha habari/hoja yenye kusikitisha ila anacheka (😂) hii kitu ni aina ya uchizi hivi Mkuu.

Jaribu hata wewe tu kuvaa uhalisua wake, utajikuta unajishangaa unafanya jambo gani.

Ila tuache utani huyu mwamba sipati picha akiandika kwa mkono itakuwaje.

Media za Tz nyingi zimejaa watu wenye ufahamu mdogo sana na mainstream ina mbumbumbu wakutosha.
 
Nikiwa na mpenzi anaandika hivi bora awe anaipigia tu simu tuongeee...huo mwandiko hapana kwakweli....kwanza mwanaume wa kuchambana insta na kutumia emoji zote hizo unataka kugundua nini
Yani hata mood ya kumkiss inakatika uongo🤣🤣 ila sema kuna kaukweli aisee ni bora mkiwa washamba muwe washamba wote penzi linanoga mkiandika "nipo balabalani" na anaejibu asijue kama kuna makosa ya uandishi hapo mnaenda sawa , ila uikute huyu anachanganya na kiingereza yule anaandika "nimehamka sarama" hata mood ya kuwa nae inakata
 
Back
Top Bottom