Uandishi wa habari nao si mchezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uandishi wa habari nao si mchezo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Tiger, May 19, 2010.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jana nilikuwa naangalia CNN nika muona mwana mama(Sara Sidner) mmoja aki-report toka Thailand
  kwa wale jamaa wa mashati mekundu.
  Kutokana na hilo niliamua kumtafuta kwenye mtandao ili nifahamu zaidi.
  Baada ya kuingia YouTube nikakutana na video ambayo ni ya siku nyingi ila ndipo nilipoipata hiyo heading "Uandishi na wa habari nao si mchezo"  CNN Programs - Anchors/Reporters - Sara Sidner
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaaazi kwelikweli. wahindi wabishi balaa
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  May 19, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Du hii kazi kwa kweli yataka moyo. Jamaa wana jazba kwelikweli.
   
 4. T

  Tiger JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hiyo Katavi ni ile mbuga ya wanyama kule Mpanda au?
  maana nimeishi kule.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 20, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ndio hiyo mkuu nyumbani!
   
 6. T

  Tiger JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sehemu gani mkuu jileze kidogo.
  Unaijua Msakila(shule) wewe?
  Au kama vp ni-PM.
   
Loading...