Uanaume wa mwanaume ni nyumba?

Uanaume wa mwanaume ni nyumba?

Angalia upande wa pili mtu ametoka kwao kaja kwenu anakaza dada yako, anatengewa maji ya kuoga etc. huyo ni kidume amewaoeni. Adhani huyo ni kidume
Amewaoeni au mumemuoa! anyway tatizo siyo kukaa hapo ila ni kifuatacho.Mfano mke kafa unaanzaje?
 
Naamini hamjambo kabisa japokuwa maisha ngangari lakini tuna endelea kugangamala kiubishi.

Naomba kuwasilisha hii hoja ya kijamii inayoathiriwa sana na uchumi. Utakuta mwanaume anaolea ukweni anazaa watoto hadi watatu hana kiwanja wala dalili ya kuhama japo akapange.

Sasa najiuliza huyu anaweza kumwacha mke au ataachwa yeye. Na msemaji wa familia ni yeye au babamkwe au mkewe? Naona kama imekuwa kawaida siku hizi au ndiyo tunaendana na wakati?

Wenzangu mnaonaje hii.
NDIO KUNA BABA MWENYE NYUMBA HAKUNA baba mwenye gari
 
Amewaoeni au mumemuoa! anyway tatizo siyo kukaa hapo ila ni kifuatacho.Mfano mke kafa unaanzaje?
Definition ya kuoa ni male anaingia hivyo anaoa; female anapokea hivyo anaolewa. Mke akifa unasepa na kuanza upya. Hili suala si ngeni kwa makabila ya Tanzania. Huko kusini kuna makabila mwanaume akioa anahamia ukweni mfano kabila la Nkapa
 
Tushike na tufuate like andiko mwanaume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe, likewise mwanamke
Kukaa jirani na wakwe sio kitu kizuri... Tumeyaona matatizo makubwa sn
 
Acha umbea, wewe fanya yako, yao waachie wao
 
Back
Top Bottom