Saint Murano
Member
- Mar 31, 2019
- 97
- 264
Kwanza najua kabisa ukishazaliwa mwanaume jua hakuna wa kukuonea huruma, kwahiyo pambana hadi mwisho!
Ila Kuna pale mishe zote zinakwama kila unapogusa Ngoma ngumu.
DUH hapa nawaza Leo siku itaishaje bila hata mia ya kula? Je, kesho? Kesho kutwa kichwa kinawaka moto stress Ni nyingi.
Wakuu mwenye connection ya kazi tusaidiane tufanye nipate hata ya hata ya kula leo tu.